Mabaharia wenzangu huwa munarespond vp ikishafikia hivi?

Hela ndio center ya mahusiano yote chalii...yawe ya uwongo au real au complicated....hisia zimeondolewa na zimewekwa mbali...hata mahusiano yasio ya kimapenzi yanaongozwa na hela...heshima inaletwa na pesa...so we bado ni mdogo ila nafasi ya kupata hela ni kubwa...kuliko mpenzi

pambana upate hela...hutatongoza tena...we utawaona tu...maisha ni pesa na pesa ndo maisha hakuna maisha bila pesa
 
Means hajakupenda ni vile tu kakujibu kistaarabu usijiskie vibaya
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Kumbee, na vp kuhusu pesa naona hujagusia kama wengine?
 
Unakataliwa kustaarabu bado unaleta ngebe!! Katafute pesa.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Ninyi wadada niny mpaka sasa nafikiria nikishakuwa na mipesa niwakomeshe vipi
 
Real love?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizo movie za kifilipino unazoangalia zinakudanganya, achana nazo jikite kwenye kutafuta hela
Ahaa kumbe na wewe umegusia
 
P1 Broh
 
Hizo somjo kaka. Ungekuwa na mihela ungekuwa unatupa story ya jinsi ulivyo isasambua mbususu
[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekuelewa mkuu, p1
 
Ahsante sana mkuu for your best comment [emoji106][emoji106]
 
Nimesikitika sana, kumbe wadada ndivyo walivyo! Ngoja niibe sasa, manake pesa za halali haziji kujaza wallet leo au kesho.
[emoji24][emoji24]
Usifanye hivyo mkuu, mbona tunaweza ishi bila mapenzi
 
[emoji24][emoji24]
Usifanye hivyo mkuu, mbona tunaweza ishi bila mapenzi
Kuna siku mtu atakuja kukupenda bila sababu.niamini ila kumpata ndo changamoto.huo ugonjwa hata sisi ke tunao.unatamani mtu akupende bila sababu yani🥺
 
Kuna siku mtu atakuja kukupenda bila sababu.niamini ila kumpata ndo changamoto.huo ugonjwa hata sisi ke tunao.unatamani mtu akupende bila sababu yani[emoji3064]
Ahsante for your hope
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…