Mabaharia wenzangu huwa munarespond vp ikishafikia hivi?

Mabaharia wenzangu huwa munarespond vp ikishafikia hivi?

Issue sio hela

hajakupenda tu

kuna watu wana hela na wanajibiwa hivyo

Inategemea na mwanamke mwenyewe
 
pisi sikuizi ni nyingi sana unaweza panda gari ukatamani kushuka kituo si chakoo.
Swal langu mm kwa wanawake wa jamii forum ni kwamba . ivi ukisima mishwa na mwanaume ambae hakujui huwa mnaji skiajee or what comes first in your mind??

Maana unaweza kutana na pissi barabaran unashindwa huanzaje hasa pisi za kisabato 😅😅
 
pisi sikuizi ni nyingi sana unaweza panda gari ukatamani kushuka kituo si chakoo.
Swal langu mm kwa wanawake wa jamii forum ni kwamba . ivi ukisima mishwa na mwanaume ambae hakujui huwa mnaji skiajee or what comes first in your mind??

Maana unaweza kutana na pissi barabaran unashindwa huanzaje hasa pisi za kisabato [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787]
Umenifurahisha sana mkuu "unaweza shuka kituo si chako"
 
Duh yaani kila komenti ni "katafute hela " hela hela hela hela
Pesa
Mtonyo
Mapene
Sarafu
Noti
Fweza
Sabuni ya roho

Maskini tumekwishaaaaaa
Kwisha habari yetu
 
Hajakupenda tu na alikuweka kwenye 'friend/brother zone'
 
Duh yaani kila komenti ni "katafute hela " hela hela hela hela
Pesa
Mtonyo
Mapene
Sarafu
Noti
Fweza
Sabuni ya roho

Maskini tumekwishaaaaaa
Kwisha habari yetu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifurahisha sana mkuu

."KWISHA HABARI YETU"
 
Vitu vingine muwe mnawauliza wenzenu huko huko hostel baada yakumaliza vipindi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi sijui kwanini baada yakusoma mada yake nikarudi kuangalia profile yake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi sijui kwanini baada yakusoma mada yake nikarudi kuangalia profile yake
We ndo cha kupenda pesa kwel wewe, jina tu linajitosheleza
 
Back
Top Bottom