kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,058
- 3,613
access denied
hiyo ya kukuita kaka amemanisha add credit or debit card
hiyo ya kukuita kaka amemanisha add credit or debit card
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani una umri gani kwa sasa?Afu nyi madingi mnatakiwa mtupe vijana wenu madini sio mnaanza kutukejeLi bhna
Sasa hv namshukuru mungu nna miaka 22 bhna kuna swaLi jingne mshuaKwani una umri gani kwa sasa?
Hapo kukuambia anakuheshimu ametumia tafsida alimaanisha 'usinizoee'Sasa mkuu kwanini ananiheshimu wakati sina hela?
Tatizo tukiwapa mautaalamu mnajifanya wajanja mtakuja kututongozea mama zenu!!!Afu nyi madingi mnatakiwa mtupe vijana wenu madini sio mnaanza kutukejeLi bhna
P1, nimekupata mkuuDemu akishakuletea swaga izo kata moto dogo mademu wapo wengi sana yaaan mm nikitokea kumtongoza demu afu aanze kunidengulia naachana nae mapema tu afu namtokea demu mwingine life inasonga...... mwanamke akikukataa afu ukiendelea kumgandaganda anakuona boya ww mpoteze kuna siku atashoboka tu mwenyewe afu akishashoboka ww unakuwa huna abar nae
Ngoja nikafanyie kazUnafikiaje kwenye maongezi ya mambo ya kuheshimiana Mkuu, wewe ukiwa mshua utaweza kweli kuwa fatakii?
Jitahidi Mkuu msiwe na maongezi ya mambo ya kuheshimiana, Ke kama Me tu nao wanapenda, wanatamani na wanafikiriaga ujinga ujinga mwingi.