Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Sep 3, 2021 #81 maji ya gundu said: Huyu ndo unakuta mjanja wa darasa we Cha kufanya mpe tu idea sio kumkejeli mzee Click to expand... Yani watt wasiku hizi hasara.. huyo class ni mjanja na utakuta kwenye sekta mapenzi wanamkubali balaa.
maji ya gundu said: Huyu ndo unakuta mjanja wa darasa we Cha kufanya mpe tu idea sio kumkejeli mzee Click to expand... Yani watt wasiku hizi hasara.. huyo class ni mjanja na utakuta kwenye sekta mapenzi wanamkubali balaa.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Sep 3, 2021 #82 sinajinasasa said: Tatizo tukiwapa mautaalamu mnajifanya wajanja mtakuja kututongozea mama zenu!!! Click to expand... Hahaha hatuwezi kuleta hizo dharau mshua labda tu wamama waamue kututunuku tu vjana wao
sinajinasasa said: Tatizo tukiwapa mautaalamu mnajifanya wajanja mtakuja kututongozea mama zenu!!! Click to expand... Hahaha hatuwezi kuleta hizo dharau mshua labda tu wamama waamue kututunuku tu vjana wao
Fene JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 2,824 Reaction score 4,447 Sep 3, 2021 Thread starter #83 fundi bishoo said: Hahaha hatuwezi kuleta hizo dharau mshua labda tu wamama waamue kututunuku tu vjana wao Click to expand... [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] Kweli kabisa na sisi wakitutunuku hatuachi,, tunalamba tu[emoji38][emoji38]
fundi bishoo said: Hahaha hatuwezi kuleta hizo dharau mshua labda tu wamama waamue kututunuku tu vjana wao Click to expand... [emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787] Kweli kabisa na sisi wakitutunuku hatuachi,, tunalamba tu[emoji38][emoji38]