Huyu kwa nini wasimpe tu jina la ”MANINA”,hapo kabla ya M,weka herufi mbili za mwanzo za ndege anaefugwa na kuliwa sana wageni wakifika homeMikocheni mkuu kuna watu wanatafuta wanaume wa kuwaona robo tatu ya kanisa wanatafuta wanaume alafu zote pini kali kama MENINA
Hakuna nauli ni fee daladala Mwenge na Makumbusho.Mkuu nauli yako tu mademu wanafanyakazi kama wewe mpanda vitonga ndio mahali pake
Kama huna koneksheni na sio baharia tulia tu mkuuTuma picha
Unaanzaje kukosa sasa Mzee wa Kuinuliwa!!Iyo sio ya kukosa!!!!
Unamaanisha baharia mwenzetu gwajizo foshizoTunaenda kwa kono la baunsa. Baharia mwenzetu
Sio mzima wewe 😂😂😂😂Unapiga mizigo yenye upako tu kuna yule aliyevaa gauni jekunde bonge hivi mtu asiguse jpili natimba mwenyewe
Lazima nijeKwa niaba ya Mabaharia wote, nasema tumekubali mwaliko wa Mama Rwakatale!
Hata mie nimemwona nataka huyo huyo aise ni mkali kweli kweliUnapiga mizigo yenye upako tu kuna yule aliyevaa gauni jekunde bonge hivi mtu asiguse jpili natimba mwenyewe
Kama wote ni pini kali na wamekosa waume basi hao viumbe ni rejected materialMikocheni mkuu kuna watu wanatafuta wanaume wa kuwaona robo tatu ya kanisa wanatafuta wanaume alafu zote pini kali kama MENINA
Mlima wa moto ndio wapi?
Lazima nije
menina ni pini kali?Mikocheni mkuu kuna watu wanatafuta wanaume wa kuwaona robo tatu ya kanisa wanatafuta wanaume alafu zote pini kali kama MENINA