Mabaharia wote Jumapili ijayo ibada mlima wa moto

Mabaharia wote Jumapili ijayo ibada mlima wa moto

Mikocheni mkuu kuna watu wanatafuta wanaume wa kuwaona robo tatu ya kanisa wanatafuta wanaume alafu zote pini kali kama MENINA
Huyu kwa nini wasimpe tu jina la ”MANINA”,hapo kabla ya M,weka herufi mbili za mwanzo za ndege anaefugwa na kuliwa sana wageni wakifika home
 
Ibada saa ngapi?? huu upepo wa kisulisuli hata mimi umenipitia
 
Mikocheni mkuu kuna watu wanatafuta wanaume wa kuwaona robo tatu ya kanisa wanatafuta wanaume alafu zote pini kali kama MENINA
Kama wote ni pini kali na wamekosa waume basi hao viumbe ni rejected material
 
Jpili
20191015_000749.jpeg
 
kuna pini moja ilivaa kigauni cheusi akawa anatoka mbele kuna akawa anajikuna mguu kwa mkuu wake iyo iacheni nakuja kuifata [emoji41]
 
oii mnaonaje tukajiorganized tukutane pale mwenge siku ya jumapili ili upepo wa kisulisuli utupeperushe wote mpaka mlima wa moto
 
Back
Top Bottom