Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Position ya katibu wa itikadi na uenezi iko wazi? Fomu tunachukua wapi ili tuapply
 
Nipo hapa pia no kupelekeshwa
Ukizingua natafuta wa kuziba pengo
Hapo kwenye hela mi bahili kinoma
 
Tehe tehe tehe
Kweli JPM amekaza..mpaka vijana wanapitia katiba upya ya uhongaji.


Nikupongeze mtela mada..maboresho ya mbinu ni muhimu kwani kwa kuzingatia hayo itawezesha wanaume kulinda maslahi ya waleti na mafanikio kiujumla.

TABIA YA UHONGAJI usio na mipaka umewatoa vijana wengi nje ya chaki kwa kuendelea kutumia mihemko katika uhongaji.Hivyo mwisho wa siku kupoteza nyota na pesa ambazo zingemsaidia katika mambo ya msingi.

NIPENDEKEZE...Weledi watiririshe mbinu mpya ambazo zitafanya katiba ya uhongaji kuwa yenye tija bila kuathiri uchumi wa mwanaume.

Ahsante.
 
Ila ukila umelipia kuna raha yake jamani, watoto wanabinuka na kujikunja kama jongoo alieguswa sharubu.

Lakini vya dezo, utapewa style za ajabu ajabu kama maiti iliyosusiwa na ndugu.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ahsante kwa mchango wako ngoja tuendelee kuwasubilia magwiji wakubana matumizi watupe mbinu mpya
 
Niko hapa mwanachama hai.....Sina muda mrefu nimemaliza kumtolea mbavuni kidosho mmoja....eti elfu hamsini saluni, dadekii
 
Sema tusiokuwa na hela sio mabahili.
Hapa lazima mapovu yawatoke, watu tushastuka, hapigwi mtu mizinga ya kipuuzi, Mimi pesa kiasi ninayo,na dau langu la mwisho ni buku tano, la msingi nko fresh idara zingine zote, na ukijichanganya unanihonga wewe kama siyo kukukopa hela.....dadekiii
Sema tusiokuwa na hela sio mabahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…