Dibo10
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,311
- 1,594
Mkuu kura yangu umepata, [HASHTAG]#teambahili[/HASHTAG], Mwanaume anayejiamini haongi,unaonga ili iweje [emoji23]Fomu za ukatibu mkuu nitazipata wapi?? hahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kura yangu umepata, [HASHTAG]#teambahili[/HASHTAG], Mwanaume anayejiamini haongi,unaonga ili iweje [emoji23]Fomu za ukatibu mkuu nitazipata wapi?? hahaha
Siri ya utajiri ni ubahiliMkuu kura yangu umepata, [HASHTAG]#teambahili[/HASHTAG], Mwanaume anayejiamini haongi,unaonga ili iweje [emoji23]
Pesa ipo ila kwa usawa huu haitoki bila mtu kugongwa au kuumwaSema tusiokuwa na hela sio mabahili.
Mambo,pole na kazi ya ujenzi wa taifaSema tusiokuwa na hela sio mabahili.
Unaingiza kingi,Unatumia kidogo ni kanuni za uchumi zisizohitaji shule ya aina yoyote ileSiri ya utajiri ni ubahili
[emoji23][emoji23][emoji23]Ila ukila umelipia kuna raha yake jamani, watoto wanabinuka na kujikunja kama jongoo alieguswa sharubu.
Lakini vya dezo, utapewa style za ajabu ajabu kama maiti iliyosusiwa na ndugu.
kabisa mkuu..WATAELEWAUnaingiza kingi,Unatumia kidogo ni kanuni za uchumi zisizohitaji shule ya aina yoyote ile
Ahsante kwa mchango wako ngoja tuendelee kuwasubilia magwiji wakubana matumizi watupe mbinu mpyaTehe tehe tehe
Kweli JPM amekaza..mpaka vijana wanapitia katiba upya ya uhongaji.
Nikupongeze mtela mada..maboresho ya mbinu ni muhimu kwani kwa kuzingatia hayo itawezesha wanaume kulinda maslahi ya waleti na mafanikio kiujumla.
TABIA YA UHONGAJI usio na mipaka umewatoa vijana wengi nje ya chaki kwa kuendelea kutumia mihemko katika uhongaji.Hivyo mwisho wa siku kupoteza nyota na pesa ambazo zingemsaidia katika mambo ya msingi.
NIPENDEKEZE...Weledi watiririshe mbinu mpya ambazo zitafanya katiba ya uhongaji kuwa yenye tija bila kuathiri uchumi wa mwanaume.
Ahsante.
Hapa lazima mapovu yawatoke, watu tushastuka, hapigwi mtu mizinga ya kipuuzi, Mimi pesa kiasi ninayo,na dau langu la mwisho ni buku tano, la msingi nko fresh idara zingine zote, na ukijichanganya unanihonga wewe kama siyo kukukopa hela.....dadekiiiSema tusiokuwa na hela sio mabahili.
Sema tusiokuwa na hela sio mabahili.
Mzee jangala habari za mihangaikoHuu pia ni umama.... Utaachaje kuhonga kwa mfano.