Ila mkihongwa na wanawake mnachukua?Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Mi nataka utunza hazina ila sasa sijui nitatunza nini manake sie wote tutakua wabahiliFomu za ukatibu mkuu nitazipata wapi?? hahaha
Tumia kanuni za XX+LNawezaje kuwa bahiri?
Hapana sio kweli sisi mama tunakamatia kwa sound mingi sana.. wale wa chaputa hawanaga totozi za kukamatiaWanachama wengi wa chama hichi Wana dual-membership, ni wanachama pia wa chaputa
Mabahili tunasifa ya kupokea ila ni wagumu kutoaIla mkihongwa na wanawake mnachukua?
Kuntwa nchima nchonge kinyako halaf hela nipeke kwa ntonto wa kikeKidumu chama cha MADUME SURUALI
Hahaha noma sana hicho kitengoMi nataka utunza hazina ila sasa sijui nitatunza nini manake sie wote tutakua wabahili
One round huyo atakuwa kijana mtanashati sana,[emoji23]