Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

[Colour=Yellow]Weka nafasi unayotaka kugombea na sifa za kwann unastahili hiyo nafasi, usisahau tukio lako moja la pekee kisha tukupe [UONGOZI] wa chama.[/yellow]
 
Ngoja nisubscribe.
Maboresho ya katiba mpya ya MABAILI.
nahaidi ntakua mzalendo katika kutekeleza sheria mpya.
Saiv nashusha kiwango kuonga mwisho 5000. Kwa mwezi ataki atembee
 
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Ila mkihongwa na wanawake mnachukua?
 
Huyo sio bahili mwisho wake kutoa ni 20000 ,mimi nikikupa 10000 ujue nimekupenda kweli kutokea moyoni mwisho wangu n 5000
 
Umasikini tuu, embu cheki mtoto mkali anacheka na 50K jioni hii, bado kesho tena anapata nyingine

Mtaishia kula mademu wabovu wabovu ambao hata viwanja hamuwezi kwenda nao, wananuka vijasho na chupi zimetoboka
 

Attachments

  • IMG_20170704_205943_955.jpg
    IMG_20170704_205943_955.jpg
    45.8 KB · Views: 63
Ni mwiko kuhonga demu akitaka anihonge mm
Utamu anaopata yeye ni sawa na nao pata mm
 
Back
Top Bottom