Emmanuel kamuli
Member
- Jul 4, 2017
- 22
- 4
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kuna ukweli hapoWanachama wengi wa chama hichi Wana dual-membership, ni wanachama pia wa chaputa
Sante! Watanikoma ausei make nimeisha wachoka.[emoji41][emoji41][emoji41]chukua
Sawa azma mpondaNi mwiko kuhonga demu akitaka anihonge mm
Utamu anaopata yeye ni sawa na nao pata mm
Wenzako wanachekesha ati!Hii ni mbaya sana kwann uwe bahil wakat unafrahia mzigo
nakupa kadi fasta mkuu njooKuna mmoja anataka nmtoe lunch leo.
Juz weekend apo kanbania gegedo et alikua period..
Mananaaaaaa..
Kashakula nyekundu. Sitak mazoea
Mzee thubo yamkini bado haujachelewa katika zoezi la usajili,umefika katika wakati mwafaka kabisa tena lazima tukupe cheo ndani ya hiki chamaSikujua kama wenzangu mmeendelea kiasi cha kumiliki chama,nilienzi ubahili kimya kimya nikajua tupo wachache kumbe ni usajili tu ndo sina asee...Nisajilini rasmi manake Mimi sipendagi ujinga pia
Hahahaaaaaaa,,,,sign me aseeMzee thubo yamkini bado haujachelewa katika zoezi la usajili,umefika katika wakati mwafaka kabisa tena lazima tukupe cheo ndani ya hiki chama
Karibu sana mzee thubo
Sure kwakweli,Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Upo vzuriTehe tehe tehe
Kweli JPM amekaza..mpaka vijana wanapitia katiba upya ya uhongaji.
Nikupongeze mtela mada..maboresho ya mbinu ni muhimu kwani kwa kuzingatia hayo itawezesha wanaume kulinda maslahi ya waleti na mafanikio kiujumla.
TABIA YA UHONGAJI usio na mipaka umewatoa vijana wengi nje ya chaki kwa kuendelea kutumia mihemko katika uhongaji.Hivyo mwisho wa siku kupoteza nyota na pesa ambazo zingemsaidia katika mambo ya msingi.
NIPENDEKEZE...Weledi watiririshe mbinu mpya ambazo zitafanya katiba ya uhongaji kuwa yenye tija bila kuathiri uchumi wa mwanaume.
Ahsante.
Wanaume tumeumbwa mateso, kuangaika Mr pare sahau wamezaliwa kwa ajiri yetu!Kuna demu alinipiga mzinga wa 100,000 akidai atanirudishia, toka mwaka Jana hadi Leo nimeshindwa kusahau.