The Chosen One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 3,579
- 17,011
Asante mkuu. Nipo tayari kua mwanachama boranakupa kadi fasta mkuu njoo
Hakika inaonekana kweli wewe ni bahili mwenye itikadi kali,naomba uwe katibu kiongozi wa mabahili.Tuseme sasa mwisho wa kupigwa vibutiUjinga wa kuchunwa nan anautaka mm nilijua am single Man mwenye itikad kali tafadhali My ID isajiliwe wananiiita King *Gungapakwe* Lamba UL..
===Huyo sio bahili mwisho wake kutoa ni 20000 ,mimi nikikupa 10000 ujue nimekupenda kweli kutokea moyoni mwisho wangu n 5000
This fabuloushahahaha kuna jamaa yangu bahili hatari,ye dau lake mwisho elfu 20000,Yaan yeye huwa hajal wewe ni mzuri kiasi gani,hiyo ndio limit yake ya kuonga, Kuna bint mmoja mrembo wa haja waliingia ktk uhusiano na huyu jamaa,kabla mambo hayaja kaa sawa akapigwa mzinga wa 50000 jamaa akatoa 10000,yule bint alisononeka sana,akidai amedharauliwa sana. Uhusiano uliisha siku hyo [emoji23]. Tukiwa chuo alimpenda bint mmoja wa kimanga,aisee yule demu alikula 60000;na jamaa alikuwa anarecord,siku aliyopewa mzigo ndio uhusiano ulipoisha [emoji23] [emoji23] [HASHTAG]#Teambahilioyeeeee[/HASHTAG]
Unaakili kweli we mwenzetu!Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Nafurahi kusema kuwa hiki chama kina watu wenye akili mno!Asante mkuu. Nipo tayari kua mwanachama bora
Kumbe tupo wengi lakini iki chama kiongozwe na itikadi kali za kibahili.
Wanataka 50 to 50. Hakuna mteremko kwa usawa huu unaweza endekeza hawa viumbe ukapoteza malengo
Mbona kama avatar yako inaashiria wewe sio wa hiki chama, kwa ulivyowekwa chini na demu sindo nyie mnaoendekeza mfumo jike yani ukute hamna daraja ulale akukanyage kama mazoezi ya kiaskari!Huyu wangu anataka nimnunulie Luku, hakika yake leo atalala kwenye giza.. Ndio ataelewa umuhimu wa kuwa na nokia tochi...
Nafasi bado ipo, form zimeanza kutolewa,tunaomba cv yako ya ubahili ambayo umewahi kuionyesha,cv iwekwe hadharaniNaomba niwe rais wa hichi Chama au kama Kuna fomu ya hii nafasi naitaka nigombee
Ahsante kwa kulitambua hilo,ngoja huyo bwana afikishwe kwenye kamati ya masaa matatu na sekunde tatu ili wamjadiliMbona kama avatar yako inaashiria wewe sio wa hiki chama, kwa ulivyowekwa chini na demu sindo nyie mnaoendekeza mfumo jike yani ukute hamna daraja ulale akukanyage kama mazoezi ya kiaskari!
Mbona kama avatar yako inaashiria wewe sio wa hiki chama, kwa ulivyowekwa chini na demu sindo nyie mnaoendekeza mfumo jike yani ukute hamna daraja ulale akukanyage kama mazoezi ya kiaskari!
Atupe tukio moja kali ili tujue msimamo wake kwenye hili jamboNafasi bado ipo, form zimeanza kutolewa,tunaomba cv yako ya ubahili ambayo umewahi kuionyesha,cv iwekwe hadharani
umesha nilipa kiingilio mhazini?ni mia tu no ada no michangoUjinga wa kuchunwa nan anautaka mm nilijua am single Man mwenye itikad kali tafadhali My ID isajiliwe wananiiita King *Gungapakwe* Lamba UL..
kmmyo hiki chama cha ukwe-e!!!!Nafasi bado ipo, form zimeanza kutolewa,tunaomba cv yako ya ubahili ambayo umewahi kuionyesha,cv iwekwe hadharani