Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

nakupa kadi fasta mkuu njoo
Asante mkuu. Nipo tayari kua mwanachama bora
Kumbe tupo wengi lakini iki chama kiongozwe na itikadi kali za kibahili.
Wanataka 50 to 50. Hakuna mteremko kwa usawa huu unaweza endekeza hawa viumbe ukapoteza malengo
 
Ujinga wa kuchunwa nan anautaka mm nilijua am single Man mwenye itikad kali tafadhali My ID isajiliwe wananiiita King *Gungapakwe* Lamba UL..
 
Ujinga wa kuchunwa nan anautaka mm nilijua am single Man mwenye itikad kali tafadhali My ID isajiliwe wananiiita King *Gungapakwe* Lamba UL..
Hakika inaonekana kweli wewe ni bahili mwenye itikadi kali,naomba uwe katibu kiongozi wa mabahili.Tuseme sasa mwisho wa kupigwa vibuti
 
Tuwe serious jama, hivi kuna watu wanahonga wanawake? why and how?
 
hahahaha kuna jamaa yangu bahili hatari,ye dau lake mwisho elfu 20000,Yaan yeye huwa hajal wewe ni mzuri kiasi gani,hiyo ndio limit yake ya kuonga, Kuna bint mmoja mrembo wa haja waliingia ktk uhusiano na huyu jamaa,kabla mambo hayaja kaa sawa akapigwa mzinga wa 50000 jamaa akatoa 10000,yule bint alisononeka sana,akidai amedharauliwa sana. Uhusiano uliisha siku hyo [emoji23]. Tukiwa chuo alimpenda bint mmoja wa kimanga,aisee yule demu alikula 60000;na jamaa alikuwa anarecord,siku aliyopewa mzigo ndio uhusiano ulipoisha [emoji23] [emoji23] [HASHTAG]#Teambahilioyeeeee[/HASHTAG]
This fabulous
 
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Unaakili kweli we mwenzetu!
 
Asante mkuu. Nipo tayari kua mwanachama bora
Kumbe tupo wengi lakini iki chama kiongozwe na itikadi kali za kibahili.
Wanataka 50 to 50. Hakuna mteremko kwa usawa huu unaweza endekeza hawa viumbe ukapoteza malengo
Nafurahi kusema kuwa hiki chama kina watu wenye akili mno!
Wanachama wenye itikadi tupo!
 
Huyu wangu anataka nimnunulie Luku, hakika yake leo atalala kwenye giza.. Ndio ataelewa umuhimu wa kuwa na nokia tochi...
Mbona kama avatar yako inaashiria wewe sio wa hiki chama, kwa ulivyowekwa chini na demu sindo nyie mnaoendekeza mfumo jike yani ukute hamna daraja ulale akukanyage kama mazoezi ya kiaskari!
 
Mbona kama avatar yako inaashiria wewe sio wa hiki chama, kwa ulivyowekwa chini na demu sindo nyie mnaoendekeza mfumo jike yani ukute hamna daraja ulale akukanyage kama mazoezi ya kiaskari!
Ahsante kwa kulitambua hilo,ngoja huyo bwana afikishwe kwenye kamati ya masaa matatu na sekunde tatu ili wamjadili
 
Mbona kama avatar yako inaashiria wewe sio wa hiki chama, kwa ulivyowekwa chini na demu sindo nyie mnaoendekeza mfumo jike yani ukute hamna daraja ulale akukanyage kama mazoezi ya kiaskari!

Hiyo ni avatar tu wala isukupe shida!!
 
Ujinga wa kuchunwa nan anautaka mm nilijua am single Man mwenye itikad kali tafadhali My ID isajiliwe wananiiita King *Gungapakwe* Lamba UL..
umesha nilipa kiingilio mhazini?ni mia tu no ada no michango
 
Back
Top Bottom