Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1][emoji1][emoji1]Yaani haya Masokwe ya Kongo kujiona watu wanapenda sana.
Mbowe huwa anavaa combat
Tabia za madikteta hizo, huwa wanapeana assist.Halafu ndio eti ndio wanakuaga waangalizi wetu wa uchaguzi mkuu
Hao wenye akili hua hawaalikwi kua waangalizi
Yaani hua wanachagua maboya kuja kutuangalizia uchaguzi
Hao mabalozi ndo wameidhinisha mwigulu kupewa tril 2.7 za mkopo bwasheeKazi ya balozi siyo kuhudhuria kesi!
Huyu ameanza kujisahau jinsi alivyotendwa na mwendazakeWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amewataka mabalozi wanaokwenda mahakamani kufuatilia mwenendo ya kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia.
Balozi Mulamula ameyasema hayo leo Agosti 20,2021 jijini Dar es Salaama wakati akizungumza na mabalozi, wakuu wa taasisi na mashirika ya kimataifa mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (Sadc) uliofanyika Lilongwe, Malawi Agosti 17–18.
Katika mkutano huo, Balozi Mulamula amesisitiza kwamba mabalozi wanaokwenda mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi ya Mbowe kufuata sheria na taratibu za kimataifa za kidiplomasia ili kujiepusha na ukiukwaji wa sheria na taratibu hizo.
#MwananchiUpdates
The last kick of a dying horse.Kesi zote ziko hurru kwa kila mtu na open court why waonywe ??? Hakuna kuonywa wala hawaogopiii
Hawawezi kuelewa mpaka waanze kutoka damu puani,hii serikali imeshakuwa ya kifidhuli.The last kick of a dying horse.
kimenuka !Akizungumza na gazeti hili, mjumbe wa Umoja wa Ulaya hapa nchini ambaye hakutaka jina lake litajwe, amesema wamepokea tahadhari kutoka serikalini kwa wanadiplomasia.
“Tulihudhuria usikilizwaji wa kesi inayomkabili kiongozi wa chama cha upinzani, Freeman Mbowe kwa sababu ni haki yetu kama mabalozi kufuatilia hali ya kisiasa katika nchi ambayo tumo wakati huo.”
The last kick of a dying horse.
Mama akija kushtuka wasaidizi wake wanavyompeleka pabaya,atajikuta shamba limeshabakiwa na mabuakimenuka !
Acha utani mkuu 🤣 🤣 🤣Huyo mama asiyejua hata kuongea vyema anasemaje?!
Huyo mama ni mpuuzi sanaHuyu ameanza kujisahau jinsi alivyotendwa na mwendazake
Serikali inawatishia mabalozi usalama wao kuhudhuria hapo mahakamani.Hawana ubavu huo, hususani ukizingatia kesi ya Mbowe inahudhuriwa na mabalozi huru kutoka kwenye nchi za wenye akili timamu. Balozi wa nchi kama Burundi huwezi kumuona mahakamani kamwe.