Mabalozi wa kigeni wanaohudhuria kesi ya Mbowe waonywa

Mabalozi wa kigeni wanaohudhuria kesi ya Mbowe waonywa

Serikali inawatishia mabalozi usalama wao kuhudhuria hapo mahakamani.

Kinachoweza kutokea sasa ni kwamba serikali yenyewe wanaweza kuanzisha vurugu hapo ili kuwatishia mabalozi wasiendelee kuhudhuria kesi hiyo.

Kiongozi wa mabalozi Dr. Ahamada El Badaoui (sijui ni kutoka nchi gani huyu), inaonekana anaunga mkono vitisho hivyo wanavyopewa mabalozi wake!
kwanini unasema anaunga mkono vitisho , funguka , tunaweza kuhakikisha nchi yake inamrejesha kwao , tuna mtandao mkubwa sana
 
Kwani sheria na taratibu za kidiplomasia zasemaje?

Au azungumzia Viena Convention on Diplomatic Relations?

Au azungumzia kuwakumbusha majukumu yao mabalozi yaani Diplomatic Roles?

Awe wazi asionekana kama vile watu husema "She is flying her weight about".
 
huyu mama ni Kabudi mpya
 
huyu mama ni Kabudi mpya
Kazi ya balozi ni kuangalia hali ya kisiasa ya nchi mwenyeji, na hutakiwa kufahamu sera dira ya maendeleo yake.

Anatakiwa afahamu vyama vya siasa na ushiriki wao (si kuviwezesha kushiriki) na viongozi wa baadae kama ni Mbowe au Mama Samia |(tuchukulie twazungumzia 2025).

Kisha balozi anachunguza chanzo na kiini cha sera na dira hizo na pia kuangalia uimara wa nchi kijeshi, kisiasa na mifumo inayotawala nchi hiyo.

Kwa kuwa mabalozi karibu wote wa nchi za magharibi walijihusisha moja kwa moja na uchaguzi wa 2020, wasidhani kuwa wataendeleza mtindo huo kwani ulikuwa ni "one off scenario".

Hivyo balozi Mulamula aweke wazi msimamo wa Tanzania na VCDR.

Moja ya makubaliano ya VCDR ni balozi kuhakikishiwa usalama wake anapokuwa ndani ya nchi mwenyeji.

Hapo inabidi polisi wapewe majukumu ya kuhakikisha usalama wao endapo kutatokea tatizo lolote la kiusalama.

Mabalozi hao wanafahamu taratibu hizo hivyo si mbaya kama wakikumbushwa.
 
Kama wanaweza kuhudhuria kwenye kuapishwa kwa rais, basi wanaweza kuhudhuria kwenye kesi ya ugaidi
Lakini mahakama zetu ni sehemu iliyo ndani yaani "confined space".

Hivyo majanga kama COVID-19 na athari((risk) yoyote yaweza kujitokeza halafu nani alaumiwe?

Je, wao mabalozi hufanya RA kabla ya kwenda hapo mahakamani bila ulinzi wowote?
 
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Africa Mashariki , Mtukufu Mulamula , ambaye amewataka mabalozi hao kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia , hakufafanua taratibu hizo kama zinawakataza mabalozi kuhudhuria kesi mahakamani au la .

View attachment 1900584

Chanzo : Mwananchi

Hakuna precedent ya balozi wa nchi yoyote kuhudhuria case dhidi ya raia wa host country.

Wangekuwa na utamaduni wa kufanya hivyo miaka yote na kwa cases zote dhidi ya raia wa host country, kuhudhuria kwao kusingekuwa na walakini. Kuchagua kuhudhuria case moja tu ya Mbowe itakuwa clear meddling in our internal affairs, kitu ambacho ni kinyume cha sheria na taratibu za kidiplomasia!
 
TALIBAN WAMESEMA MWANAMKE HATAKIWI KUMUONGOZA MWANAUME.

SASA SISI WADANGANYIKA SIJUI NANI KATUROGA.
 
Alikua anamaanisha mabalozi wa nyumba kumi wa Kaishozi au mabalozi gani?
 
Hakuna precedent ya balozi wa nchi yoyote kuhudhuria case dhidi ya raia wa host country.

Wangekuwa na utamaduni wa kufanya hivyo miaka yote na kwa cases zote dhidi ya raia wa host country, kuhudhuria kwao kusingekuwa na walakini. Kuchagua kuhudhuria case moja tu ya Mbowe itakuwa clear meddling in our internal affairs, kitu ambacho ni kinyume cha sheria na taratibu za kidiplomasia!
Kuna ibara yoyote ndani ya katiba yenu mbovu iliyoeleza jambo hilo ?
 
Serikali ya CCM inajifanya haijui nguvu ya wadau wa maendeleo. Wadau hao walijitosa huko Zambia kufuatilia kesi ya kiongozi wa upinzani na kutia mbinyo haki itendeke katika mwenendo wa kesi ya kiongozi wa upinzani.

Rais Edgar C. Lungu na chama chake cha PF waliziba masikio huku wakidai Zambia ni Taifa 'huru' na walijitia kuwakumbusha mabeberu , vibaraka wa nje kuhusu kutoingilia kesi ya Hakainde Hichilema alipotupwa mahabusu kwa tuhuma za uhaini.

Aliyekuwa Kiongozi wa upinzani Bw. Hakainde Hichilema sasa ni rais mteule kupitia ushindi alioupata tarehe 12 August 2021 pamoja ya kupitia katika manyanyaso ya kila aina tangu 2006 :

History
Hakainde Hichilema (born 4 June 1962) is a Zambian businessman and politician who has been President of the United Party for National Development, an opposition political party, since 2006.

Hakainde Hichilema's arrest was widely condemned. The United States,[23] the European Union[24] and the European Parliament[25] denounced the arrest. The Africa Liberal Network condemned the arrest as an attempt by President Lungu to silence dissent and opposition.[26] The Catholic bishops strongly condemned the arrest and said Zambia had become a dictatorship under President Edgar Lungu.[27] Julius Malema, the leader of South Africa's EFF party, accused Zambia's president Edgar Lungu of apartheid style repression for detaining Hichilema on treason charges[12] and called president Lungu a “Coward”.[28] Mmusi Maimane, the leader of South Africa's DA party, who was denied entry into Zambia to visit Hichilema in Jail[29] (stopped from exiting the plane at Lusaka's Kenneth Kaunda International Airport) strongly denounced the trumped up charges against Hichilema.[30]

Time in jail​

Hichilema said in an interview on HARDtalk that during his time in prison he was held in solitary confinement for 8 days without food, water, light or visitation, was tortured by having his private parts pepper sprayed and accused president Lungu of having tried to kill him.[31]

His wife Mutinta was turned away by prison officials when she took food for him.

Hichilema's arrest was the subject of the episode of Al Jazeera's The Stream TV program titled Is Zambia's democracy in danger[32] which aired on 30 May 2017.

High-profile jail visitations​

Zambia's first president Kenneth Kaunda was turned away by prison officials when he visited Hichilema in Prison.[33]

Mmusi Maimane, leader of the Democratic Alliance (South Africa) was also turned away by Zambia Police when he came to Zambia to attend Hichilema's court appearance, he was not allowed to disembark from the plane, had his phone confiscated and was roughed up.[29] This prompted South Africa's Foreign Ministry to summon Zambia's Ambassador to South Africa Emmanuel Mwamba to explain the actions of the Zambian regime.

Former President of Nigeria, Olusegun Obasanjo visited Hichilema in Prison.[34]

Secretary General of the Commonwealth, Baroness Patricia Scotland visited Hichilema in Prison twice.[35]

2017
BBC World News Hardtalk Interview With Hakainde Hichilema.
 
Serikali ya CCM inajifanya haijui nguvu ya wadau wa maendeleo.

Rais Edgar C. Lungu na chama chake cha PF walijitia kuwakumbusha mabeberu , vibaraka wa nje kuhusu kutoingilia kesi ya Hakainde Hichilema alipotupwa mahabusu kwa tuhuma za uhaini.

Aliyekuwa Kiongozi wa upinzani Bw. Hakainde Hichilema sasa ni rais mteule kupitia ushindi alioupata tarehe 12 August 2021 pamoja ya kupitia katika manyanyaso ya kila aina tangu 2006 :

History

Hakainde Hichilema's arrest was widely condemned. The United States,[23] the European Union[24] and the European Parliament[25] denounced the arrest. The Africa Liberal Network condemned the arrest as an attempt by President Lungu to silence dissent and opposition.[26] The Catholic bishops strongly condemned the arrest and said Zambia had become a dictatorship under President Edgar Lungu.[27] Julius Malema, the leader of South Africa's EFF party, accused Zambia's president Edgar Lungu of apartheid style repression for detaining Hichilema on treason charges[12] and called president Lungu a “Coward”.[28] Mmusi Maimane, the leader of South Africa's DA party, who was denied entry into Zambia to visit Hichilema in Jail[29] (stopped from exiting the plane at Lusaka's Kenneth Kaunda International Airport) strongly denounced the trumped up charges against Hichilema.[30]

Time in jail​

Hichilema said in an interview on HARDtalk that during his time in prison he was held in solitary confinement for 8 days without food, water, light or visitation, was tortured by having his private parts pepper sprayed and accused president Lungu of having tried to kill him.[31]

His wife Mutinta was turned away by prison officials when she took food for him.

Hichilema's arrest was the subject of the episode of Al Jazeera's The Stream TV program titled Is Zambia's democracy in danger[32] which aired on 30 May 2017.

High-profile jail visitations​

Zambia's first president Kenneth Kaunda was turned away by prison officials when he visited Hichilema in Prison.[33]

Mmusi Maimane, leader of the Democratic Alliance (South Africa) was also turned away by Zambia Police when he came to Zambia to attend Hichilema's court appearance, he was not allowed to disembark from the plane, had his phone confiscated and was roughed up.[29] This prompted South Africa's Foreign Ministry to summon Zambia's Ambassador to South Africa Emmanuel Mwamba to explain the actions of the Zambian regime.

Former President of Nigeria, Olusegun Obasanjo visited Hichilema in Prison.[34]

Secretary General of the Commonwealth, Baroness Patricia Scotland visited Hichilema in Prison twice.[35]

2017
BBC World News Hardtalk Interview With Hakainde Hichilema.

Mungu mbariki Hichilema
 
Na nchi yetu Tanzania muda si mrefu itatengezewa kipindi maalum ktk lugha ya Kiingereza ili dunia izidi kufahamu jinsi nafasi ya demokrasia ya hali ya vyama vingi kufanya siasa inavyozidi kutiwa kabali na utawala dhalimu wa serikali ya CCM.

Kuchanika kwa Lile pazia kubwa la kiSwahili la kujifichia la madhalimu ya CCM kwa mgongo wa media zote za Tanzania kuendesha habari zake kwa lugha ya Kiswahili ili uovu unaoendelea Tanzania usivuje kimataifa sasa umefikia tamati.

CCM na serikali ilitumia na bado inatumia uzalendo feki kuwa habari zote ziwe kwa kiSwahili ili watu wa Mataifa mengine wasifahamu mambo mabaya yanayofanywa na CCM ndani ya Tanzania. Matumizi ya 'kilugha' cha kiSwahili kuficha maovu umefikia mwisho maana sasa wadau wa kila sina toka nje na ndani wamefika ktk viunga vya mahakama kupata ukweli wa mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti Freeman Mbowe na wenzie watatu.

31 May 2017
ZAMBIA CHINI YA DIKTETA EDGAR C. LUNGU ILIPATA KUANGAZIWA

31 May 2017
The Stream - Is 🇿🇲 Zambia’s democracy in danger? The trial of opposition leader Hakainde Hichilema has attracted many around the world

Source : Al Jazeera English
 
Na nchi yetu muda si mrefu itatengezewa kipindi maalum ktk lugha ya Kiingereza ili dunia izidi kufahamu jinsi nafasi ya demokrasia ya hali ya vyama vingi kufanya siasa inavyozidi kutiwa kabali na utawala dhalimu wa serikali ya CCM. Lile pazia ya kujifichia la madhalimu ya CCM kwa mgongo wa media zote za Tanzania kuendesha habari zake kwa lugha ya Kiswahili ili uovu unaoendelea Tanzania usivuje kimataifa sasa umefikia tamati. Matumizi ya 'kilugha' cha kiSwahili kuficha maovu umefikia mwisho. CCM na serikali ilitumia na bado inatumia uzalendo feki kuwa habari zote ziwe kwa kiSwahili ili watu wa Mataifa mengine wasifahamu mambo mabaya yanayofanywa na CCM.

31 May 2017
ZAMBIA CHINI YA DIKTETA EDGAR C. LUNGU ILIPATA KUANGAZIWA

31 May 2017
The Stream - Is 🇿🇲 Zambia’s democracy in danger?

Source : Al Jazeera English

Itakuwa poa sana
 
Back
Top Bottom