Acha matusi wewe, toa hoja zakoWazungu wakituita masokwe tuna mind Sana kutufananisha na hayo masokwe, Ila sisi waafrika kujiita masokwe tunaona sawa. Akili za waafrika hovyo Sana
Nyumbu hovyo kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha matusi wewe, toa hoja zakoWazungu wakituita masokwe tuna mind Sana kutufananisha na hayo masokwe, Ila sisi waafrika kujiita masokwe tunaona sawa. Akili za waafrika hovyo Sana
Nyumbu hovyo kabisa.
Mbona watoto wakinya mavi vichakani Nchi za hao Mabolozi zinawajengea vyoo tena vya Shimo, kwani haya mambo ya ukosefu wa Vyoo siyo ya Ndani?Burundi moja hio.
Naungana nawe kusubiri majibu yake.Hiyo sheria iko ibara ipi ?
Unatangazia dunia kua kuna gaidi kakamatwa alafu hamtaki mabalozi wajiridhishe na hali yausalama ya nchi wakati kila siku mnazungumzia kuruhusu wawekezaji waje kuwekeza nchini kwenu.ni mwekezaji gani atakayekuja kwa hali hiyo.hii kesi ya mbowe usifikiri nisawa na kesi nyingine zakijinga.impact yake ni kubwa sana na iko siku itatugharimu vinginevyo wenye akili watatuona tuna fanya mambo yakitoto na kijinga tu wataamua kupuuza ila sio rahisi kihivyo.Kwahiyo ni sawa wakifwatilia.Hakuna precedent ya balozi wa nchi yoyote kuhudhuria case dhidi ya raia wa host country.
Wangekuwa na utamaduni wa kufanya hivyo miaka yote na kwa cases zote dhidi ya raia wa host country, kuhudhuria kwao kusingekuwa na walakini. Kuchagua kuhudhuria case moja tu ya Mbowe itakuwa clear meddling in our internal affairs, kitu ambacho ni kinyume cha sheria na taratibu za kidiplomasia!
Sasa hapa kati ya Lissu na Samia nani hapa ni Mwana kulitafuta!? Akipokelewa segerea ndiyo mtakumbuka kumbe Lissu nae ni Kijungu kinachopwaga bila ya Moto Jikoni kama Mzee wa Nyagi!!Kayatafuta mwenyewe
Aiseee !!Mbona watoto wakinya mavi vichakani Nchi za hao Mabolozi zinawajengea vyoo tena vya Shimo, kwani haya mambo ya ukosefu wa Vyoo siyo ya Ndani?
Uwezekano huo ni mkubwa sana.kwahiyo kuna dalili ya mabalozi kupigwa mabomu ?
Freeman Mbowe ni Fidel Castro wetu
MaKamanda wa kweli wasiochoka wapo CHADEMA, na Freeman Mbowe ataifanya Tanzania kuwa Mpya mithili ya waliyofanya kina Nelson Mandela, Fidel Castro n.k kwa nchi zao
Fidel Castro huku machozi yakimlengalenga anafunguka - "Nasema ktk uwanja wa mapambano ya mabadiliko mitaro ya katiba mpya, mitaro ya fikra huru, mitaro ya mapinduzi ni bora mara elfu kuliko mitaro ya rushwa, ukandamizaji, kubambikia kesi, kutumia dola vibaya dhidi ya wanamapinduzi wanamabadiliko anasema Fidel Castro shujaa wa Cuba ....
Bado muda utaongea na tutamuona Mwenyekiti Freeman Mbowe akiwa huru, kuendelea kuongoza mapambano huku amevalia magwanda ya chama ambayo tumezoea kumuona akiongoza mapambano halali kisheria kutetea Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.
Viva la Revoluciòn ! Viva CHADEMA ! Mpaka Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu yataposilibiwa ndani ya Katiba Mpya.
Eee bhana eeeeUwezekano huo ni mkubwa sana.
Kutapangwa mamluki wanaanzisha vurugu eneo hilo walipo mabalozi, na mambomu yatarushwa.
Halafu wataambiwa, si mnaona sasa, tuliwaambia msihatarishe maisha yenu kwenda kwenye maeneo kama hayo.
Kwani kuna ugumu gani wa kuliona hili mkuu wangu Erythro!
Mabalozi wanaonywa wasivunje sheria,..., ni sheria gani wanayoivunja kwa kuhudhuria kesi mahakamani? Haielezwi, ila wanaambiwa wanahatarisha usalama wao!
Kuna sheria inayoeleza mabalozi wasihatarishe maisha yao?
Kama wanakiuka taratibu za kidiplomasia inakuaje wanawaruhusu ? Mbona kipindi cha Magu walinywea?Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa Africa Mashariki , Mtukufu Mulamula , ambaye amewataka mabalozi hao kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia , hakufafanua taratibu hizo kama zinawakataza mabalozi kuhudhuria kesi mahakamani au la .
View attachment 1900584
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amewataka mabalozi wanaokwenda mahakamani kufuatilia mwenendo ya kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia.
Balozi Mulamula ameyasema hayo leo Agosti 20,2021 jijini Dar es Salaama wakati akizungumza na mabalozi, wakuu wa taasisi na mashirika ya kimataifa mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika Lilongwe, Malawi Agosti 17–18.
Katika mkutano huo, Balozi Mulamula amesisitiza kwamba mabalozi wanaokwenda mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi ya Mbowe kufuata sheria na taratibu za kimataifa za kidiplomasia ili kujiepusha na ukiukwaji wa sheria na taratibu hizo.
Chanzo: Mwananchi
Kwanza nashangaa nani anawaruhusu kufanya huu ujingaKazi ya balozi siyo kuhudhuria kesi!
Kwani anaenda Amerika kuhudhuria kesi?Waziri Mulamula tulitarajia jna uweledi fulani na ukaheshimika sana ila kwa hili agizo siamini. Ila yawezekana kabisa umeagizwa kutoa kauli hii tata! Na kumbuka nadhani unayo safari ya Amerika karibuni.
WaTanzania mlioko huko USA hamna hata haja ya kuwa na maongezi naye kwani ashaunga juhudi imekuwa shida kuanza kutoa matamko yasiyo mshiko.
Ni kifungu namba ngapi cha Sheria kinasema hivyo?Kazi ya balozi siyo kuhudhuria kesi!