Mabalozi wa kigeni wanaohudhuria kesi ya Mbowe waonywa

Fidel Castro on his beard, free election & gambling (1959) - BBC News
Surrounded by press and supporters, Castro answers questions regarding a free election, gambling, tourism and whether he'll shave off his beard. He concludes with 'Batista finished for ever in Cuba.'
 
Mulamula na viongozi wengine wa serikali ya CCM waongee wanachofikiri au kukiamini mbele ya mabeberu, wasijifiche kwa kutumia lugha ya Kiswahili kujaribu kuonesha ubabe n.k

Fidel Castro akiwa Marekani aongea baada ya ndege yake kukamatwa kwa madeni ikabidi apewe 'lift' ktk ndege ya Russia

 
Unatangazia dunia kua kuna gaidi kakamatwa alafu hamtaki mabalozi wajiridhishe na hali yausalama ya nchi wakati kila siku mnazungumzia kuruhusu wawekezaji waje kuwekeza nchini kwenu.ni mwekezaji gani atakayekuja kwa hali hiyo.hii kesi ya mbowe usifikiri nisawa na kesi nyingine zakijinga.impact yake ni kubwa sana na iko siku itatugharimu vinginevyo wenye akili watatuona tuna fanya mambo yakitoto na kijinga tu wataamua kupuuza ila sio rahisi kihivyo.Kwahiyo ni sawa wakifwatilia.
 
Kwani hao mabalozi hatuwezi kumwagiza kamanda Sirro awaunganishe kwenye kesi ya Ugaidi? Ikishindikana hata wapewe uhujumu uchumi au watekwe...
 
Freeman Mbowe ni Fidel Castro wetu

MaKamanda wa kweli wasiochoka wapo CHADEMA, na Freeman Mbowe ataifanya Tanzania kuwa Mpya mithili ya waliyofanya kina Nelson Mandela, Fidel Castro n.k kwa nchi zao


Fidel Castro huku machozi yakimlengalenga anafunguka - "Nasema ktk uwanja wa mapambano ya mabadiliko mitaro ya katiba mpya, mitaro ya fikra huru, mitaro ya mapinduzi ni bora mara elfu kuliko mitaro ya rushwa, ukandamizaji, kubambikia kesi, kutumia dola vibaya dhidi ya wanamapinduzi wanamabadiliko anasema Fidel Castro shujaa wa Cuba ....

Bado muda utaongea na tutamuona Mwenyekiti Freeman Mbowe akiwa huru, kuendelea kuongoza mapambano huku amevalia magwanda ya chama ambayo tumezoea kumuona akiongoza mapambano halali kisheria kutetea Uhuru, Haki na Maendeleo ya Watu.

Viva la Revoluciòn ! Viva CHADEMA ! Mpaka Uhuru, Haki na Maendeleo ya watu yataposilibiwa ndani ya Katiba Mpya.
 
Kayatafuta mwenyewe
Sasa hapa kati ya Lissu na Samia nani hapa ni Mwana kulitafuta!? Akipokelewa segerea ndiyo mtakumbuka kumbe Lissu nae ni Kijungu kinachopwaga bila ya Moto Jikoni kama Mzee wa Nyagi!!
 
kwahiyo kuna dalili ya mabalozi kupigwa mabomu ?
Uwezekano huo ni mkubwa sana.

Kutapangwa mamluki wanaanzisha vurugu eneo hilo walipo mabalozi, na mambomu yatarushwa.

Halafu wataambiwa, si mnaona sasa, tuliwaambia msihatarishe maisha yenu kwenda kwenye maeneo kama hayo.

Kwani kuna ugumu gani wa kuliona hili mkuu wangu Erythro!

Mabalozi wanaonywa wasivunje sheria,..., ni sheria gani wanayoivunja kwa kuhudhuria kesi mahakamani? Haielezwi, ila wanaambiwa wanahatarisha usalama wao!
Kuna sheria inayoeleza mabalozi wasihatarishe maisha yao?
 
Mbowe ni shujaa .

 
Eee bhana eeee
 
Kama wanakiuka taratibu za kidiplomasia inakuaje wanawaruhusu ? Mbona kipindi cha Magu walinywea?
 
Kwani anaenda Amerika kuhudhuria kesi?
 
Kwa hiyo mnawapangia majukumu? walipeni kabisa na mishahara.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…