wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Wanapenda hela zao Ila hawapendi kufuatiliwa na ma sponsor.Mbona watoto wakinya mavi vichakani Nchi za hao Mabolozi zinawajengea vyoo tena vya Shimo, kwani haya mambo ya ukosefu wa Vyoo siyo ya Ndani?
JULIUS NYERERE Ex Presidente de Tanzania Conferencia Pública en Nicaragua 1988
Joseph Mulligan74 views21 Mar 2020
El 15 de agosto de 1988, Julius Nyerere, ex presidente de Tanzania, dio una conferencia pública en una iglesia en Managua. El presidente Daniel Ortega habló a continuación. ESTE VIDEO PRESENTA LA CHARLA DE NYERERE. En 1979, el pueblo nicaragüense, bajo el liderazgo del Frente Sandinista de Liberación Nacional, había derrocado la dictadura de Somoza. Muchos cristianos habían participado de diversas maneras en la lucha por la liberación y continuaron participando en los programas del gobierno revolucionario. Durante la década de 1980, el gobierno revolucionario sandinista, que incluía a 3 sacerdotes en el gabinete, trató de mover a Nicaragua en una dirección socialista, pero tuvo que concentrar los recursos en la defensa del país y de la revolución contra los contrarrevolucionarios apoyados por Estados Unidos (Contras). A principios de 1990, Daniel Ortega fue derrotado en las urnas por una amplia coalición que tenía a Violeta Chamorro como su candidata. Julius Nyerere (1922 - 1999) fue un activista, político, y teórico político anticolonial tanzano. Gobernó Tangañica como primer ministro de 1961 a 1962 y luego como presidente de 1963 a 1964, después de lo cual dirigió a su estado sucesor, Tanzania, como presidente de 1964 a 1985. Ideológicamente un nacionalista africano y un socialista africano, promovió una filosofía política conocida como Ujamaa.
Unatangazia dunia kua kuna gaidi kakamatwa alafu hamtaki mabalozi wajiridhishe na hali yausalama ya nchi wakati kila siku mnazungumzia kuruhusu wawekezaji waje kuwekeza nchini kwenu.ni mwekezaji gani atakayekuja kwa hali hiyo.hii kesi ya mbowe usifikiri nisawa na kesi nyingine zakijinga.impact yake ni kubwa sana na iko siku itatugharimu vinginevyo wenye akili watatuona tuna fanya mambo yakitoto na kijinga tu wataamua kupuuza ila sio rahisi kihivyo.Kwahiyo ni sawa wakifwatilia.
Unazungumzia hisia zako. Ni kinyume cha sheria gani? Hakuna ukiukaji wowote.
Mulamula kwenye ufafanuzi wake alisema wanatakiwa watoe taarifa ili wapewe ulinzi. Lakini hawafanyi kosa lolote kufuatilia hiyo kesi ya kubambikizà.
Wewe unataka mabalozi wahudhurie kesi dhidi ya wevi wa kuku?
Huyo muhaya ni mjinga kama ccm wenzake,kapewa ubunge wa bure plus uwaziri ....akili zake zimehamia tumboniMulamula ni dictator tena mweusi tiii
Lete kifungu cha sheria kinachozuwia balozi kuhudhuria mahakamaniKazi ya balozi siyo kuhudhuria kesi!
Maskini pamoja na uchawa wote huu, bado ameliwa kichwaHii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Africa Mashariki, Mulamula, ambaye amewataka mabalozi hao kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia , hakufafanua taratibu hizo kama zinawakataza mabalozi kuhudhuria kesi mahakamani au la.
========
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amewataka mabalozi wanaokwenda mahakamani kufuatilia mwenendo ya kesi ya Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kufuata sheria na taratibu za kidiplomasia.
Balozi Mulamula ameyasema hayo leo Agosti 20,2021 jijini Dar es Salaama wakati akizungumza na mabalozi, wakuu wa taasisi na mashirika ya kimataifa mkutano wa wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) uliofanyika Lilongwe, Malawi Agosti 17–18.
Katika mkutano huo, Balozi Mulamula amesisitiza kwamba mabalozi wanaokwenda mahakamani kufuatilia mwenendo wa kesi ya Mbowe kufuata sheria na taratibu za kimataifa za kidiplomasia ili kujiepusha na ukiukwaji wa sheria na taratibu hizo.
Chanzo: Mwananchi
Huyo gaidi mwenye fulana ya mistari stari mbona hana hata kiberiti ?
Shetani hana rafiki , atakutumia tuMaskini pamoja na uchawa wote huu, bado ameliwa kichwa
Unasemaje?Asante sana Amb. Mulamula kwa kutimiza majukumu yako kwa weledi wa viwango vya juu.
Hakika Rais hajakosea kumchangua kuwa waziri wa mambo ya nje, anatimiza majukumu yake vyema sana.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Unasemaje?