Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Strategic[emoji846][emoji846][emoji846]Yanateketea au yamepigwa nali na manispaa[emoji28]
Hivi si watoane tu kistaarabu kuliko kutiana hasara hivi? Pesa ngumu jamanYanateketea au yamepigwa nali na manispaa😅
Hivi si watoane tu kistaarabu kuliko kutiana hasara hivi? Pesa ngumu jaman
Mbona ilitangazwa?Hivi si watoane tu kistaarabu kuliko kutiana hasara hivi? Pesa ngumu jaman
...Kwamba leo watawachomea moto?Mbona ilitangazwa?
We upo nchi gani? Swala la machinga kuondolewa sio geni...Kwamba leo watawachomea moto?
Mi naona 2025 ya giza tu na utemi wa mwendazake, jinsi watu wanamaumivu na njaa..hata sijui nini kitasuuza hasira yao!!
Nazungumzia kuchomwa moto Kwa mabanda, sio kuondolewa machinga.We upo nchi gani? Swala la machinga kuondolewa sio geni
Kuna kuondolewa kwa aina nyingi, sasa sijajua uwezo wako wa kupambanua mamboNazungumzia kuchomwa moto Kwa mabanda, sio kuondolewa machinga.
Msaada watapata.