Mabanda ya Biashara Mwenge yaungua moto

Mabanda ya Biashara Mwenge yaungua moto

Labda kama wanunuzi wamebadilishiwa makazi nao,mkuu kuwa unafikiri vizuri
Haijalishi mzee. Kama muuzaji akihama hata wewe mnunuzi usipohama lazima utamfuata muuzaji alipo ili upate huduma. Mbona ni suala lililopo wazi tu asee.
 
Frame mitaani zimekosa wateja waingie mitaan waweke bidhaa zao madukani mbona watauza tu. Mfano mdogo unakuta mtu ana mtaji wa milion tano za nguo. Huku mikoani watu wanateseka kupata nguo kwenye magulio, kwanini wasianze taratibu za kuingia mikoani kutafuta soko la bidhaa zao. Tena uhakika wa kuuza mizigo magulion ni mkubwa kuliko hata hapo dar es salaam.
 
Nazungumzia kuchomwa moto Kwa mabanda, sio kuondolewa machinga.
🤣🤣🤣🤣🤣
Yakishaungua si ndo machinga hatarudi hapo. Walishaaambiwa toeni na deadline imepita. Hii nchi inachekesha sana.

Assume cheti feki ndo kafungua banda mwaka jana kwa taabu sana. Sijui atamchukia aliyetumbua vyeti feki au anayebomoa banda lake.
 
Haijalishi mzee. Kama muuzaji akihama hata wewe mnunuzi usipohama lazima utamfuata muuzaji alipo ili upate huduma. Mbona ni suala lililopo wazi tu asee.

Mkuu tunamuongelea mmachinga ambaye alikuwa anauza kwa kukutana na mteja akienda nyumbani au kazini. Mmachinga ambaye anachukua vitu kwa mfanyabiashara mkubwa vikiisha anarudi tena kununua. Sasa kwa nini mimi mteja nifunge safari kumfuata mtu ambaye siyo reliable kiasi hicho?
 
Machinga wabishi Sana,Acha wapigwe kwenye mshono ili akili iwakae sawa
Mi nadhan wakienda na Magreda mchana kweupe wakaangusha banda mbili tatu hawatokaa tena hapo, kuliko kuwachomea moto kuwapa hasara kubwa.
 
Mkuu tunamuongelea mmachinga ambaye alikuwa anauza kwa kukutana na mteja akienda nyumbani au kazini. Mmachinga ambaye anachukua vitu kwa mfanyabiashara mkubwa vikiisha anarudi tena kununua. Sasa kwa nini mimi mteja nifunge safari kumfuata mtu ambaye siyo reliable kiasi hicho?
Machinga huwa hawajengi mabanda barabarani bali huwa wanatembeza bidhaa zao. Hao unaowazungumzia wewe sio machinga japo kwa sasa wamelazimishwa kuitwa machinga.
 
Yanateketea au yamepigwa nali na manispaa[emoji28]
Manispaa huwa wanajiongeza sana ktk kuhamisha mob kama hivi ila hii style inaacha maumivu sana kwa inaowakuta,yapo madai hata soko la Kariakoo ilikuwa inside job watu wahame maana wangeambiana tu kwenye vikao vya wafanyabiashara miaka mia hakuna angehama pale!

Hapo Mwenge harudi tena mtu wajiongeze tu.
 
Back
Top Bottom