mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,555
- 6,972
Habari wakubwa,
Kwa kumbukumbu zangu kama sijakosea kuanzia awamu ya 5 na hii ya sasa tuliyonayo shughuli za kitaifa anazohudhuria Rais zinambatana na mabago 'banners' makubwa yenye picha ya Rais pamoja jumbe au kaulimbiu kulingana na shughuli husika iwe maadhimisho, sikukuu za kitaifa na kimataifa n.k
Hizi 'banner' hazikuwepo kipindi cha awamu ya 4 kwenda chini. Sina uhakika ni gharama kiasi gani lakini tunaweza kuokoa hizo gharama zisizo na ulazima. Sijaju shughuli iliisha zile banners au posters huenda wapi? Hutupwa? Au kuhifadhiwa?
Sidhani kama Mama anapenda 'populism' na pia sio kila utaratibu anaokuta lazima aendelee nao, ukiondoa taratibu za kiprotokali na kiusalama.