Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Ujinga unaongezeka kwa sababu wajinga nao wanaongezeka. Tanzania watu wanaogopa kuandamana, lakini wangejua kuwa wangeweza kutumia mpira kuonyesha kupinga kwao serikali.....Huu ujinga unazidi kuongezeka
Kenya ni kesho 😄Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.
At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi.
Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.
Hamia huko kabisa utuondolee uchuro wako hapa TZ.Huwa sijuti kuangalia mpira wa ulaya tu, huu utopolo wa bongo sinaga mpango nao.
Wewe huna akili.Hamia huko kabisa utuondolee uchuro wako hapa TZ.
Hana akili mzazi wako!!Wewe huna akili.
Nasema hivi, huwa siangalii hilo soka la team ya ccm. Ulaya sio lazima nihamie, naangalia kwa pesa yangu mipira ya ukweli.Hamia huko kabisa utuondolee uchuro wako hapa TZ.
Na tutafungwaHuwa sijuti kuangalia mpira wa ulaya tu, huu utopolo wa bongo sinaga mpango nao.
Wazazi wameingiaje sasa huku?Hana akili mzazi wako!!
Hongera. Haya endelea kuangalia hapo kwa shemeji yako mume wa dada yako.Nasema hivi, huwa siangalii hilo soka la team ya ccm. Ulaya sio lazima nihamie, naangalia kwa pesa yangu mipira ya ukweli.
Soma comment yake then utajua kwanini nimecomment hivyo.Wazazi wameingiaje sasa huku?
Unatufananisha Watanzania na Wakenya jamaa?Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.
Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.
Kiumbe wa ajabu ni wewe siyo watz wote.Unatufananisha Watanzania na Wakenya jamaa?
Sisi Wabongo ni viumbe wa ajabu sana.
Nasema hivi, hiyo team ya ccm ww na viazi wenzio ndio mtaangalia. Mimi naangalia soka la ukweli huko ulaya. Hutaki jinyonge.Hongera. Haya endelea kuangalia hapo kwa shemeji yako mume wa dada yako.
Huna faida yoyote kwa TZ endelea tu na uchuro wako.Nasema hivi, hiyo team ya ccm ww na viazi wenzio ndio mtaangalia. Mimi naangalia soka la ukweli huko ulaya. Hutaki jinyonge.