Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Na kwanini usihamie tu Ulaya ukaachana na kabisa na mambo ya utopolo wa bongo? Na kama utabaki basi jua wewe ni zaidi ya mjinga, mpumbavu, mshenzi na takataka ambayo baada ya leo sitakuwa na sababu ya ku react kwenye post yako yoyote mpaka utakaposema uliishahamia Ulaya!Huwa sijuti kuangalia mpira wa ulaya tu, huu utopolo wa bongo sinaga mpango nao.
Mipango ya Wajinga? Count me out aiseeeWewe ndo akili Yako ndogo unashindwa kuelewa nini kinaendelea hapo, wenye akili wanajua wanachokifanya, we endelea kuwaona wajinga alafu mipango yao inaenda kama ilivyopangwa
Wakati mama zao wanateseka vijijini
Kweli. Tangu lini chawa akawa na akili!Wewe huna akili.
Machawa promax.Hizi ni akili za kinyumbu! Pole sana.
Poor countryHuu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.
At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi.
Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.
Kwani Lucas mwashambwa na yule tallalilia sijui tlatlahira wanasemaje?Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.
At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi.
Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.
Wewe kama mm tu. Sinaga muda wa kuangalia kinyesi cha hapa kwetuHuwa sijuti kuangalia mpira wa ulaya tu, huu utopolo wa bongo sinaga mpango nao.
Dah aseeee
Tupo pamoja hata mimi mpira wa Tanzania na Afrika sipotezi muda wangu kuangalia.Huwa sijuti kuangalia mpira wa ulaya tu, huu utopolo wa bongo sinaga mpango nao.
Gerson Msigwa ni mjinga na mpuuzi kuwahi kutokea🚮🚮🚮🚮Huu ni mpira na sio siasa wala mkutano wa siasa. Kuonyesha mabango yenye picha ya Samia ni kuwa na IQ ndogo sana.
At least tungetumia mpira au mashindano haya kutuunganisha na sio kugeuza mpira kuwa siasa. I hate it. Na mkiendelea hivi ujue hata hatua ya makundi hamkatizi.
Kenya hakuna bango la Kasongo watu wako busy na mpira.
TumeshindaNa tutafungwa
Wewe na uchawa wako huwa unatumia makalio kufikiriHamia huko kabisa utuondolee uchuro wako hapa TZ.
Au sio?😂Kenya ni kesho 😄
HahahahahaWewe na uchawa wako huwa unatumia makalio kufikiri