Mabango ya Samia kwenye mpira ni ya nini sasa kama sio ushamba?

Hao ni wapuuzi wakubwa
 
Acheni mawazo hasi ya kipuuzi. Samia anawapa Yanga na Simba motisha ya mamilioni ya pesa kila wanaposhinda kuna ubaya gani picha zake zikabebwa na kuonyeshwa hadharani na mashabiki?.

Rais wao na wanaona fahari kuonyesha namna wanavyomjali ukizingatia anawajali kwa vitendo, kuna ubaya kubeba picha zake?. Ukiona unazinguliwa sana badilisha tu channel ondoka TBC hamia zile nyinginezo zisizoonyesha mechi za Taifa Stars.

Mnaleta siasa za kukuza masuala madogo.
 
Huyo hanaga jema hata siku moja. Wale wale wabongo wanaojaa negativity vichwani mwao.
 
Kwaiyo kama wa Kenya awana mapenzi na RAIS wao ulitaka na Watanzania wawe vile.!!!! RAIS SAMIA SULUHU HASSAN ni kiongoz wawatu kipenzi cha watu
Kuna mapenzi na kuna uchawa, don't confuse the two
 
Wewe na wewe kumbe ni mpumbavu kiasi hiki, tutaacha lini ujinga kama huu? Mambo mengine wala hayataki elimu kuyaelewa.
 
Nikilicha kufatilia mpira wa Bongo miaka mingi sana baada ya kujua hizi team zipo kwa ajili ya Wanasiasa
 
Nikilicha kufatilia mpira wa Bongo miaka mingi sana baada ya kujua hizi team zipo kwa ajili ya Wanasiasa
 
Kwani tunaigana na wakenya wewe mpuuzi kweli kweli

USSR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…