NAKAZIA.Mpira ilikuwa sehemu hamna siasa ila wanaanza siasa.
Mechi ijayo nashabikia Zambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa tu, kwani sisi tunajali hilo!?Mnajikomoa wenyewe, mkishabikia wageni waifunge timu yako ya taifa huwakomoi hao wanasiasa maana wao hawajali hilo.
Mkuu si ungeshabikia tu timu yenu ya Burundi?Mpira ilikuwa sehemu hamna siasa ila wanaanza siasa.
Mechi ijayo nashabikia Zambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mwendelezo wa mastory yetu unauleta lini?, ikikupendeza rudi jukwaa letu na vitu moto moto, tumepungukiwa vionjo maridhawa.Naunga mkono hoja!
CCM imehòdhi timu ya Taifa. Hiki ni kitu kibaya sana, timu ya Taifa haihitaji siasa, inahitaji uzalendo.Mpira ilikuwa sehemu hamna siasa ila wanaanza siasa.
Mechi ijayo nashabikia Zambia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mwendelezo wa mastory yetu unauleta lini?, ikikupendeza rudi jukwaa letu na vitu moto moto, tumepungukiwa vionjo maridhawa.
Mpira ilikuwa sehemu hamna siasa ila wanaanza siasa.
Mechi ijayo nashabikia Zambia
Sent using Jamii Forums mobile app