Mabango ya Siasa yakiwepo tena mechi ijayo tunashabikia Zambia

Mabango ya Siasa yakiwepo tena mechi ijayo tunashabikia Zambia

Mnajikomoa wenyewe, mkishabikia wageni waifunge timu yako ya taifa huwakomoi hao wanasiasa maana wao hawajali hilo.
 
Mbali ya wanasiasa michezoni, wengine wanaonikera ni wale ambao Stars ikishinda wanasema "tumeshinda kwa sababu kule nyuma kuna ukuta mgumu wa wachezaji kutoka Yanga", tulivyopigwa 2 - 0 hayo maneno ya kijinga sikuyasikia tena.

Na nataka tupigwe na Zambia ili huo uzwazwa utokomee kabisa.
 
Back
Top Bottom