BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Usishangae ikibadilishwa jina kuwa CCM Taifa Stars.CCM imehòdhi timu ya Taifa. Hiki ni kitu kibaya sana, timu ya Taifa haihitaji siasa, inahitaji uzalendo.
Haya CCM tumewaachià litimi litumu lenu muhañgaike nalo