Mabango ya Siasa yakiwepo tena mechi ijayo tunashabikia Zambia

Mabango ya Siasa yakiwepo tena mechi ijayo tunashabikia Zambia

Mkuu mbona kuna simulizi kibao kule au hamzipendi za watu wengine?
Nyingi zinakuwa za kusadikika hazina uhalisia, pia baadhi mtu anakuja na simulizi ya kurasa moja au mbili kisa kimeisha.

Tunavutiwa na zile simulizi za kweli tena zenye mwendelezo wa visa ambazo msimliaji anawezatumia zaidi ya wiki hadi miezi kadhaa kuisimlia.
 
Nimekupata mkuu!
 
Hasa Msigwa pamoja na Ndumbaro ni wanafiki vibaya Samia awe makini na watu wa namna hiyo la sivyo watamuingiza chaka
 
Miaka ya nyuma kulikuwa hakuna ukhanithi huu.
Ulipoanza UCHAWA wa waziwazi ndio tatizo lilipoanzia kila mtu anataka kuonyesha uchawa wake hadharani kwa kila sehemu aliyopo.
Hata mm nasema ikiletwa siasa kwenye michezo nashabikia wapinzani wetu.

Siasa za kimangloo hizi.
 
Mbali ya wanasiasa michezoni, wengine wanaonikera ni wale ambao Stars ikishinda wanasema "tumeshinda kwa sababu kule nyuma kuna ukuta mgumu wa wachezaji kutoka Yanga", tulivyopigwa 2 - 0 hayo maneno ya kijinga sikuyasikia tena.

Na nataka tupigwe na Zambia ili huo uzwazwa utokomee kabisa.
Ukuta wa Yanga haukukamilika wewe kichaa ndy maana hata aliyejifunga sio beki wa Yanga kenge wewe
 
Ccm kama ni chama cha ushindi kweli waongoze taifa star washinde mechi zao wao si huwa wanashinda kila uchaguzi?
 
Back
Top Bottom