Ukweli usemwe tu, Hili bao Moja Moja la Yanga, limekuwa kero sana hivi Sasa huku mtaani.
Waliopigwa bao wanabeza sana na kuona sasa mmeanza kukata pumzi. Utasikia bao lenyewe Moja, hawana kitu wale!!
Kocha Gamondi vipi? Ulishazoesha watu mechi ni bao tano bila kukata pumzi huku wao wakiomba poo, Imekuwaje tena?
Au tukupeleke kwa mtaalam mmoja huko Congo akakuongezee stamina? 😂😂😂
Embu Yanga kaeni chini mjihoji.