Mabao ya Yanga na Kisa cha asiyeridhishwa

Mabao ya Yanga na Kisa cha asiyeridhishwa

Hana mbambamba....katuliaaa kama yupo anacheza draft kumbe anakiwasha uwanjani...
Hata Camara sijaona makosa yake makubwaa
Camara yuko Sawa ni mistake za kawaida,team ikae muda wachezaji waelewe umuhimu wa dabi.
 
Ukweli usemwe tu, Hili bao Moja Moja la Yanga, limekuwa kero sana hivi Sasa huku mtaani.
Waliopigwa bao wanabeza sana na kuona sasa mmeanza kukata pumzi. Utasikia bao lenyewe Moja, hawana kitu wale!!

Kocha Gamondi vipi? Ulishazoesha watu mechi ni bao tano bila kukata pumzi huku wao wakiomba poo, Imekuwaje tena?
Au tukupeleke kwa mtaalam mmoja huko Congo akakuongezee stamina? 😂😂😂

Embu Yanga kaeni chini mjihoji.
ukweli usemwe tu, hizi zitabaki kuwa kauli za kujifariji Kwa Wana Simba
 
Back
Top Bottom