Acha tu waseme aisee,Ila binafsi nimefurahi sana jinsi team yangu ilivyocheza kipindi cha kwanza.Mnajichetua...πgoli moja mlifunga?
nakuzoom tu!Mnajichetua...πgoli moja mlifunga?
πππ€£π€£π€£π€£π€£nakuzoom tu!
Kumbe Kagoma aliumia? Nilikuta tuu kafanyiwa subAcha tu waseme aisee,Ila binafsi nimefurahi sana jinsi team yangu ilivyocheza kipindi cha kwanza.
Nimemuomba msamaha mdogo wangu Kagoma,Hakika Aucho na Mudathir walipotea.
Kagoma alimpa uhuru Fernandez mavambo kuzunguka uwanja mzima.
Kuumia kwa Hamza na Kagoma kumetukosesha ushindi.
Tunahitaji Mshambuliaji wawili wa ziada
Ateba alikua anakabwa na watu wanne.
Aliumia mshakaji wangu,Binafsi sikumielewa Kocha alipompanga ile game ya Away ya Tripol ila dogo ni kisiki hatariii.Kumbe Kagoma aliumia? Nilikuta tuu kafanyiwa sub
Jamani muwaache kidogo vijana wajinoe...Aliumia mshakaji wangu,Binafsi sikumielewa Kocha alipompanga ile game ya Away ya Tripol ila dogo ni kisiki hatariii.
Tuachane na Mutale,Mukwala na ngoma tuchukue wachezaji tishio zaidi.
Hawana maajabu ujue,we angalia ubora wao wakiwa viwanjani.Jamani muwaache kidogo vijana wajinoe...
Duuh umenikumbusha mbali...Hawana maajabu ujue,we angalia ubora wao wakiwa viwanjani.
Hii subiri subiri ndio Yanga atakuja kutufunga mara ya 5 mfululizo.
Tuhataji play maker pale kati.
Enzi zile simba ilikua tishio sababu ulikua hujui umkabe nani(Luis miquson,Chama,Boko au Bwalya) nje una Mugalu na kagele.
Imagine now
Umenielewa mtu mzima mwenzangu.Duuh umenikumbusha mbali...
Yupp dogo MashakaUmenielewa mtu mzima mwenzangu.
Leo akikabwa Ateba tuu au akiumia magoli yanafungwa na Shabalala.ππ
Pia ni mzuri,apewe nafasi tujue ameweza au vipi,lakini hawa kina Mukwala na Mutale sioni kitu,Yupp dogo Mashaka
Sure mkuu...uzuri sisi mashabikii wa Simba tunaipenda Simba yetu mpk tufe...Pia ni mzuri,apewe nafasi tujue ameweza au vipi,lakini hawa kina Mukwala na Mutale sioni kitu,
Kuna Chasambi yule dogo apewe pia mechi aanze.
Yaan hata Simba ishuke daraja sisi tunayo.Sure mkuu...uzuri sisi mashabikii wa Simba tunaipenda Simba yetu mpk tufe...
Kabisaaaaaa...ubaya ubwelaYaan hata Simba ishuke daraja sisi tunayo.
Yule Fernandezi wakumuongeza mkataba kabisa mapemaaa.Kabisaaaaaa...ubaya ubwela
Hana mbambamba....katuliaaa kama yupo anacheza draft kumbe anakiwasha uwanjani...Yule Fernandezi wakumuongeza mkataba kabisa mapemaaa.