Huko Israel unafanya trucking ?au unaziona tu zinapita ? Wana safari za umbali gani na mizigo ya uzito upi?Uache ungo na pia sio woote hawajui, nipo israel hapa nimwaka wa saba root zoote ndefu mpaka nje ya nchi hakuna bus zinazo aminika kama za kampuni ya benz. Huwaambii lolote kuhusu benze, wewe wa makongolosi unasema nini bwana??
Mkuu hebu ingia kwenye huu uzi, ushauri wako na busara vinahitajika kwa huyu mdauScania 124 ilianza miaka ya 1997,
Sent
Mie sitaki kusema nimefika wapi na wapi , Ila huko kwenye wine na apples nakujua , hoja yangu ilikuwa kutoka jhb Hadi boder yoyote ya south Kuja Tanzania Kuna sehemu unatembea zaidi ya km1000 non stop? Kama ipo niambie Kama haipo ndio sababu nakwambia hiyo ni safari rahisi sana kwa lorry Mana Kuna mapumziko ya kutosha , hasa kwenye boader post .hata gari mbovu hapo ita survive.Muda mwingine nabeba matunda apples na wine zinatokea Stellenbosch huko Mimi nina miaka 20 nusu ya umri wangu Mkuu nimepita boda zooote zilizopo kwenye Nchi yeyote harakati nilianza mapema sana nachokwambia namaanisha sio kwamba nasikia...
Nimeuona huo Uzi , nimepita kimya sababu sio watu ambao wa kawaida kwenye truck industry,Mkuu hebu ingia kwenye huu uzi, ushauri wako na busara vinahitajika kwa huyu mdau
Nataka kumiliki Scania R450,Je pesa itarudi baada ya muda gani?
Nenda na gari mbovu uone kama utatoboa unadhani kwa nini wanachaji ghrama kubwa kutoka na mzigo SA mpaka dar magari mabovu si yangekua mengi tuu ni USD 8000 trip moja kutoa mzigo SA endelea kubisha Kama unaona itakusaidia...Mie sitaki kusema nimefika wapi na wapi , Ila huko kwenye wine na apples nakujua , hoja yangu ilikuwa kutoka jhb Hadi boder yoyote ya south Kuja Tanzania Kuna sehemu unatembea zaidi ya km1000 non stop? Kama ipo niambie Kama haipo ndio sababu nakwambia hiyo ni safari rahisi sana kwa lorry Mana Kuna mapumziko ya kutosha , hasa kwenye boader post .hata gari mbovu hapo ita survive.
Sent
Sawa bossNimeuona huo Uzi , nimepita kimya sababu sio watu ambao wa kawaida kwenye truck industry,
That dude got quick cash anazungumzia milion 100 at disposal na anataka ku inject barabarani, very risky project, he is just truck wanna be . Chombo yenyewe anayoizumgumzia R450, ni latest , hata uikute imetembea km 500000 huko Europe bado mil 100 haitoshi kununua .
In truck world anza na mtaji kidogo then work your way up ukitumia faida .
Sent
😀 😀 😀katika gari kumi bora duniani scannia haipo volvo ipo, sasa basi huyo mchina na hizo screpa zake hata hamsini bora unazitafuta kwa tochi, bora hata gari la NYUMBU mkuu.
Ina mwez au zaidi ya mwezi haitembei huu mwaka, ni mara ya pili huu mwaka, mwaka jana mwshon ililala tena mwezi au miez piaAcha kudanganya basi benz ya sauli iko barabarani
Kilimanjaro alikuwa anazifata body zake south kwa kutumia DAF cf Single cap ka lorry kamekaa kimzaha ila kilipiga trip sita dar to southNenda na gari mbovu uone kama utatoboa unadhani kwa nini wanachaji ghrama kubwa kutoka na mzigo SA mpaka dar magari mabovu si yangekua mengi tuu ni USD 8000 trip moja kutoa mzigo SA endelea kubisha Kama unaona itakusaidia...
Kisbo ana bus moja tu mchina kanunua mwez feb mwaka huu kutoka kwa happy Nation T 231 DST ..nyingine zote scaniaMwanza to mbeya ni route ya wafanyabiashara waliochoka kiuchumi, nan yuko tayar kutumia siku 2'kwa route 1 kila mara?
Mwanza kwenda dar ni route ilitawaliwa na scania za kisbo enzi hizo lakin tangu waje hawa wanaume wawil TUNGI'S na ALLY'S miscania yote inahemea puani.
Hata kisbo mtaalam wa scania nae ameamua kununua basi mpya za kichina, mkiacha kusikiliza story za bodaboda mtaujua ukwel wa hii tasnia
Dst ilikuwa happy nation pia ipo michina ameibadili kuwa scania zile alizochuiua kwa lux pia kisbo za arusha hakuna scania zote michinaKisbo ana bus moja tu mchina kanunua mwez feb mwaka huu T 231 DST ..nyingine zote scania
Hizo za chini mbili unapata moja hiyo ya juuWadau naomba kuuliza kati ya hzo basi mbili Hapo chini huko zinakouzwa ipi ipo bei juu?View attachment 1484187
Anashusha engine ,gia box na diff zote anatia scaniaDst ilikuwa happy nation pia ipo michina ameibadili kuwa scania zile alizochuiua kwa lux pia kisbo za arusha hakuna scania zote michina
Ile kisbo T363 DCJ kangi lugola kwa sasa wanaita covid 19 ilikuwa inaitwa macho kodo na ilikuwa mchina wakati inaenda arusha kwa jina la skyline ilikuwa mzaha sana imechoka walipoibadili kila kitu ndio wakaileta kahama na dereva wake alikuwa anaendesha skyline T335 DGB Ambayo ndio kangi lugola oringinalAnashusha engine ,gia box na diff zote anatia scania
hii michina after 3 years inachoka sana , kisbo ndio ananunua hizo sasa anaenda badili mfumo tu anatia kitu Scania kitu kinakua hatari tupu , Skyline ni kampuni mtoto ya KisboIle kisbo T363 DCJ kangi lugola kwa sasa wanaita covid 19 ilikuwa inaitwa macho kodo na ilikuwa mchina wakati inaenda arusha kwa jina la skyline ilikuwa mzaha sana imechoka walipoibadili kila kitu ndio wakaileta kahama na dereva wake alikuwa anaendesha skyline T335 DGB Ambayo ndio kangi lugola oringinal