Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Skyline kisbo express kibo safari na coaster za nyari zote ni under kisbo safari
hii michina after 3 years inachoka sana , kisbo ndio ananunua hizo sasa anaenda badili mfumo tu anatia kitu Scania kitu kinakua hatari tupu , Skyline ni kampuni mtoto ya Kisbo
 
Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani...
Yap!! Umetoa maelezo ya kitaalam kabisa,scania inauwezo wa kupanda mlima kwa speed iliotokanayo tambarare,tofauti na mchina lazima isinzie na kuanza kulalamika.

Heshima ya scania itabaki palepale
 
... uko sahihi. Probability ya gari T 605 DTR kugombaniwa na abiria ni kubwa kuliko T 605 BXY hilo halina ubishi regardless of brand!
Kuna zile Polo zilikuwa za Mohamed trans, T112AAA nimeanza ziona tangu 2004 lakini mpaka leo zinabamba kinoma na abiria wanazielewa sana
 
Mchina ni euro 3 sio 1
 
Nenda na gari mbovu uone kama utatoboa unadhani kwa nini wanachaji ghrama kubwa kutoka na mzigo SA mpaka dar magari mabovu si yangekua mengi tuu ni USD 8000 trip moja kutoa mzigo SA endelea kubisha Kama unaona itakusaidia...
We jamaa unaongea nn, south mizigo wanchaii Bei ghali sio kwa sababu ni safari yenye risks kibao lakini sio eti ni mbali
Kuna jamaa huwa anakuja kununua spea , anatumia 113 choka mbaya, na anatoboa.

Unahitaji truck imara zaidi Kama unakwenda bugarama Rwanda , kuliko Kama ungekwenda cape town south Africa kutoka dar.

Sent
 
Scania noma, hata Rungwe anafanya vema.
 
refer to abood bus service ANDARE

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka BM iringa-dsm,alinunua michina 2010 zikawa zinawaka balaa wakati huo kina abood wana marcopolo.

Nikaja kuzipanda hizo bm 2013,nilipoingia ndani ya gari stand ikabidi nitoke,maana seat zilikuwa na hali mbaya vibaya mno.
[emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji28]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Euro 3 Ni electronic diesel control (EDC) unalifahamu Hilo?, Hadi leo mchina anatumia mechanically governed injector pump,
Mechanically controlled diesel pump , hata iwe efficient kiasi gani haiwezi kufuzu euro 3 requirements


Sent
Mm nimekujibu kulingana na maelezo ya kitabu cha gari
 
Kilimanjaro Andare Class namba A zipo vizuri sana ndani.

Nadhani seat zake ni nzuri kuliko hizo za kichina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…