Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Skyline kisbo express kibo safari na coaster za nyari zote ni under kisbo safari
hii michina after 3 years inachoka sana , kisbo ndio ananunua hizo sasa anaenda badili mfumo tu anatia kitu Scania kitu kinakua hatari tupu , Skyline ni kampuni mtoto ya Kisbo
 
Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani...
Yap!! Umetoa maelezo ya kitaalam kabisa,scania inauwezo wa kupanda mlima kwa speed iliotokanayo tambarare,tofauti na mchina lazima isinzie na kuanza kulalamika.

Heshima ya scania itabaki palepale
 
... uko sahihi. Probability ya gari T 605 DTR kugombaniwa na abiria ni kubwa kuliko T 605 BXY hilo halina ubishi regardless of brand!
Kuna zile Polo zilikuwa za Mohamed trans, T112AAA nimeanza ziona tangu 2004 lakini mpaka leo zinabamba kinoma na abiria wanazielewa sana
 
Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani.

Mchina basi karibu zote anatumia technology ya euro 1, mechanical injector pump na nozzle , scania za f95 ni euro 5, common rail fuel injection , variable geometry turbocharger etc Ni very efficient, kiasi kwamba waliamua kupunguza cylinder moja , kwa option za mabasi,
F95 Ina uwezo wa kumaintain speed ya 85 kwa kipande kirefu, ndo maana sauli inakuwa ya kwanza kila siku

Sent
Mchina ni euro 3 sio 1
 
Nenda na gari mbovu uone kama utatoboa unadhani kwa nini wanachaji ghrama kubwa kutoka na mzigo SA mpaka dar magari mabovu si yangekua mengi tuu ni USD 8000 trip moja kutoa mzigo SA endelea kubisha Kama unaona itakusaidia...
We jamaa unaongea nn, south mizigo wanchaii Bei ghali sio kwa sababu ni safari yenye risks kibao lakini sio eti ni mbali
Kuna jamaa huwa anakuja kununua spea , anatumia 113 choka mbaya, na anatoboa.

Unahitaji truck imara zaidi Kama unakwenda bugarama Rwanda , kuliko Kama ungekwenda cape town south Africa kutoka dar.

Sent
 
Miaka ya nyuma Scania ndio alikuwa mfalme wa kusafirisha abiria na mizigo hapa nchini. Wamiliki wa mabasi waliziamini sana Scania kwa uimara wake na mwendo barabarani.

Miaka ya katikati Mchina akaleta mabasi ya YUTONG na Zongtong. Matajiri wengi wakazimbilia basi hizi kwasababu ya ulaji mdogo wa mafuta, bodi nzuri, interior design, na unafuu wa vipuri...
Scania noma, hata Rungwe anafanya vema.
 
Zilikuja Nissan Diesel UD, zikaenda, zikaja ISUZU CVR, zikaenda. Mchina alianza na yutong, ikafuata song tong, kaleta higer, golden dragon, sunlong lakini Scania ipo palepale. Kuna mtu kapanda Najmunisa toka secondary mpaka kapiga MD 5, Intern na kamaliza Mmed, na yupo kazini miaka mitatu sasa, Najmunisa Scania ipo tu inadunda....
refer to abood bus service ANDARE

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka BM iringa-dsm,alinunua michina 2010 zikawa zinawaka balaa wakati huo kina abood wana marcopolo.

Nikaja kuzipanda hizo bm 2013,nilipoingia ndani ya gari stand ikabidi nitoke,maana seat zilikuwa na hali mbaya vibaya mno.
[emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji28][emoji1787][emoji28]

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
Euro 3 Ni electronic diesel control (EDC) unalifahamu Hilo?, Hadi leo mchina anatumia mechanically governed injector pump,
Mechanically controlled diesel pump , hata iwe efficient kiasi gani haiwezi kufuzu euro 3 requirements


Sent
Mm nimekujibu kulingana na maelezo ya kitabu cha gari
 
Mi binafsi napanda Mchina, ndani yako comfortable, space ya kutosha kwa mabasi ya seat za 2x2. Scania zenye hali nzuri kwa level ya mchina kwa sasa sidhani kama zipo za kutosha.

Ni ukweli ulio wazi kuwa Scania iko vizuri na inavumilia sana. Mfano mabasi ya Abood yapo mpaka leo na yanapiga mzigo, isipokua tayari inakosa mambo ya kisasa, lakini kwa upande wa body na Engine, bado ziko poa, zinapiga mzigo tena route ndefu. Yutong pamoja na kutumia engine za Cumnis bado baada ya miaka michache, linakua limechoka
Kilimanjaro Andare Class namba A zipo vizuri sana ndani.

Nadhani seat zake ni nzuri kuliko hizo za kichina.
 
Back
Top Bottom