Salunbote Lyevedu
JF-Expert Member
- Jan 5, 2015
- 669
- 478
Ava ameanza lini kutoa body la andare la marcopolo hilo la kenya ni gemilang sio yote acha ujuajiNilivosema hujui kitu ulibisha, hizo gari zote ulizotaja zinatengenezwa hapo Mombasa na kampun ya AVA.
Jitahid kukaa mbali na story za bodaboda mkuu
Hiyo kitonga unaijua au umekaa tu kwenye simu unaandika za kwanza kumaliza kitonga? Acha kukariri scania hasogelewi na mchina ukifika mlimaniHujui cummins vizur ww, mchina alipochemka ni kwny kushindwa kuweka booster. Gari za kichina kila siku za kwanza kumaliza kupanda kitonga, sehem pekee wanayokimbizwa na scania ni kwenye mashimo yaliyoanzia igawa had mbeya mjini
Hilo ndo tatizo.. Kumbe wewe ni wale vijana wanaobet barabarani wakiamini kuwahi kufika ndo uwezo wa gari!DMG series za kina swai. Hadi sasa record ya kufika mapema sumbawanga inashikiliwa na JAJA the brazilian alivyopewa aonje route ya sumbawanga
Ava ameanza lini kutoa body la andare la marcopolo hilo la kenya ni gemilang sio yote acha ujuaji
Dar ~Songea ni mchina pekee unataka kumlinganisha na nani sasa? Maana zikifa hakuna wa kumcheka mwenzieHizo basi za mchina kwenye milima zinapanda vizuri habari zao za kusinzia ni pale dereva anapokuwa amedelay kukanyaga mafuta.
Wanaosema mchina kwenye milima hana kitu basi gari za Dar- Songea ataje ipi amekuta imechemsha kupanda milima.
Mie niko tayari kwa hilo na utoe ushahidi nami nikupe ushahidi wa klm akishusha body toka sauz tena mpyaTuwekeani dau kama Kilimanjaro Express hazikuwa Scandinavia??
Uko sahihi lakini wanapinga tu mdomoni ila moyoni wanajuaShida ushabiki mkuu au labda kuna watu wanawafanyie basi za kichina promo
Mombasa ya gongo la mboto
Uko sahihi lakini wanapinga tu mdomoni ila moyoni wanajua
haziendi porini
Body inaundwa na gemilang tawi la kenya
Ava ni branch ya Gemilang Malaysia
Mie niko tayari kwa hilo na utoe ushahidi nami nikupe ushahidi wa klm akishusha body toka sauz tena mpya
Tatito huwezi nunua Scania ambayo iko Bus tayari, ambazo ziko tayari ni Engine nyuma. Engine nyuma kwa kwetu si nzuri, kumbuka Sumry alivyoteseka.
Njia ya kupata bus la Scania ni kununua Chasis halafu unachonga body, kama Kisbo, City boy n.k
Mchina bus zake zipo tayari lakini engine, diff na gearbox ni nzito tofauti na Scania.
Ili kuifanya Yutong kuwa nyepesi Princes Muro alikuwa ananunua Yutong Mpya halafu anavua Engine, Diff na Gearbox anafunga za Scania. Huo moto si wa mchezo.
usingekua unazikuta sub-scania, delivery yake ingekua moja kwa moja kwenye yard ya kampuni husika
Umekunywa maji ya bendera mzee!! Wewe ni sawa na kuibishia radio ikiongea uongo!
Ava ameanza lini kutoa body la andare la marcopolo hilo la kenya ni gemilang sio yote acha ujuaji
Hiyo kitonga unaijua au umekaa tu kwenye simu unaandika za kwanza kumaliza kitonga? Acha kukariri scania hasogelewi na mchina ukifika mlimani
Huna unachokijua kuhusu mabasi wewe! Mwenzio kila siku hiyo kitonga napanda na kushuka nikiwa na basi sema leo nimeshinda ndo maana napata na muda wa kuona unavyopotosha watu kisa unapenda rangi za golden deerPunguza shobo basi, maisha yangu ni barabaran, hiyo kitonga naijua tangu enzi haijawekwa zege
Enzi kitonga gari zinatekwa na kina sekeni, najua ulikuwa bado kiunoni
Usisimuliwe nenda kajaribu kuendesha upite na yutong kisha uje upite na scania ndo uje ubwabwaje hapa tena.Punguza shobo basi, maisha yangu ni barabaran, hiyo kitonga naijua tangu enzi haijawekwa zege
Enzi kitonga gari zinatekwa na kina sekeni, najua ulikuwa bado kiunoni