Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Nilivosema hujui kitu ulibisha, hizo gari zote ulizotaja zinatengenezwa hapo Mombasa na kampun ya AVA.

Jitahid kukaa mbali na story za bodaboda mkuu
Ava ameanza lini kutoa body la andare la marcopolo hilo la kenya ni gemilang sio yote acha ujuaji
 
Hujui cummins vizur ww, mchina alipochemka ni kwny kushindwa kuweka booster. Gari za kichina kila siku za kwanza kumaliza kupanda kitonga, sehem pekee wanayokimbizwa na scania ni kwenye mashimo yaliyoanzia igawa had mbeya mjini
Hiyo kitonga unaijua au umekaa tu kwenye simu unaandika za kwanza kumaliza kitonga? Acha kukariri scania hasogelewi na mchina ukifika mlimani
 
DMG series za kina swai. Hadi sasa record ya kufika mapema sumbawanga inashikiliwa na JAJA the brazilian alivyopewa aonje route ya sumbawanga
Hilo ndo tatizo.. Kumbe wewe ni wale vijana wanaobet barabarani wakiamini kuwahi kufika ndo uwezo wa gari!
 
Hizo basi za mchina kwenye milima zinapanda vizuri habari zao za kusinzia ni pale dereva anapokuwa amedelay kukanyaga mafuta.

Wanaosema mchina kwenye milima hana kitu basi gari za Dar- Songea ataje ipi amekuta imechemsha kupanda milima.
Dar ~Songea ni mchina pekee unataka kumlinganisha na nani sasa? Maana zikifa hakuna wa kumcheka mwenzie
 
haziendi porini

Upeo wako wa maua hupukutika wakati wa kiangazi kama hiki unaijua route ya kyela wewe?! Na je wajua mpaka mtu anaamua kuweka route mahali kipi kinazingatiwa?! Mwanza to Mbeya naweza sema kuna primier line tu je ni pori?! Fikiri kabla ya kuandika
 
Tatito huwezi nunua Scania ambayo iko Bus tayari, ambazo ziko tayari ni Engine nyuma. Engine nyuma kwa kwetu si nzuri, kumbuka Sumry alivyoteseka.

Njia ya kupata bus la Scania ni kununua Chasis halafu unachonga body, kama Kisbo, City boy n.k

Mchina bus zake zipo tayari lakini engine, diff na gearbox ni nzito tofauti na Scania.
Ili kuifanya Yutong kuwa nyepesi Princes Muro alikuwa ananunua Yutong Mpya halafu anavua Engine, Diff na Gearbox anafunga za Scania. Huo moto si wa mchezo.

Ona unachoongea sasa sumry zilikuwa ni scannia?!
 
Sub scania ndo mdudu gan mkuu? Inaitwa SAAB SCANIA

Gari huwa zinaenda pale kwa kuwa wao ndo walovalisha mfumo wa engine,gearbox na chasis,body haliwahusu

Hata basi chakavu la HAJEES nalo linafanyiwa service SAAB SCANIA
usingekua unazikuta sub-scania, delivery yake ingekua moja kwa moja kwenye yard ya kampuni husika
 
Punguza shobo basi, maisha yangu ni barabaran, hiyo kitonga naijua tangu enzi haijawekwa zege

Enzi kitonga gari zinatekwa na kina sekeni, najua ulikuwa bado kiunoni
Hiyo kitonga unaijua au umekaa tu kwenye simu unaandika za kwanza kumaliza kitonga? Acha kukariri scania hasogelewi na mchina ukifika mlimani
 
Punguza shobo basi, maisha yangu ni barabaran, hiyo kitonga naijua tangu enzi haijawekwa zege

Enzi kitonga gari zinatekwa na kina sekeni, najua ulikuwa bado kiunoni
Huna unachokijua kuhusu mabasi wewe! Mwenzio kila siku hiyo kitonga napanda na kushuka nikiwa na basi sema leo nimeshinda ndo maana napata na muda wa kuona unavyopotosha watu kisa unapenda rangi za golden deer
 
Punguza shobo basi, maisha yangu ni barabaran, hiyo kitonga naijua tangu enzi haijawekwa zege

Enzi kitonga gari zinatekwa na kina sekeni, najua ulikuwa bado kiunoni
Usisimuliwe nenda kajaribu kuendesha upite na yutong kisha uje upite na scania ndo uje ubwabwaje hapa tena.
 
Back
Top Bottom