Huna unachokijua kuhusu mabasi wewe! Mwenzio kila siku hiyo kitonga napanda na kushuka nikiwa na basi sema leo nimeshinda ndo maana napata na muda wa kuona unavyopotosha watu kisa unapenda rangi za golden deer
Usisimuliwe nenda kajaribu kuendesha upite na yutong kisha uje upite na scania ndo uje ubwabwaje hapa tena
Ngoja wengine tujifunze.Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani.
Mchina basi karibu zote anatumia technology ya euro 1, mechanical injector pump na nozzle , scania za f95 ni euro 5, common rail fuel injection , variable geometry turbocharger etc Ni very efficient, kiasi kwamba waliamua kupunguza cylinder moja , kwa option za mabasi,
F95 Ina uwezo wa kumaintain speed ya 85 kwa kipande kirefu, ndo maana sauli inakuwa ya kwanza kila siku
Sent
Mafunzo bila mipaka huleta maarifa yasiyo na mipakaNgoja wengine tujifunze.
Na ndo nilijua kwa akili yako kisoda ukishajiona ulivyo mtupu utakuja kuongea hizo pumba zako!!Kwan umeacha kazi yako ya bodaboda?
Mimi sikulaumu wewe! Nailaumu jamii forum kuruhusu kila mtu kujiunga kama facebook ndo madhara yake ndo haya... Yaani nawe unajiweka kwa wenye akili??Punguza shobo, uzi huu wa watu wenye akili. Pimbi kaa pembeni
Mfano wa Engine nyuma.Ona unachoongea sasa sumry zilikuwa ni scannia?!
Mambo ya HP, TORQUE, RPM umeanza kwenda napohitaji mkuu. Huku ndo ubishani unapofikia tamati.Mkuu Climber mlimani inapanda kasi tofauti na watu wanavyoidharau.
Tofauti moja ambayo itakuwepo kati ya Benz/Scania na Cummins injini ni hao Scania/Benz watapanda kwa low RPM tofauti kidogo na Cummins.
TBL, PRIME FUELVipi kuhusu gari za mizigo? Nimeona CocaCola na Azam wao wanatumia Benz zaidi kuliko brand nyingine kama Scania.
Hivi mkuu nikuulize,ktk kupanda kwako hii michina kuna siku hata moja umefanikiwa kukutana na lenye hiyo huduma ya Wi-Fi?
Mie wakati huo yanatoka na ujinga wangu naenda kwetu nikajisemea ngoja nipande kitu luxury sikumbuki nilichokipata zaidi ya kuuwa battery yangu ya Nokia Lumia na system kuvurugika mpaka leo ipo kabatini.
Mchina siyo mtu mzuri!
Hivi mkuu nikuulize,ktk kupanda kwako hii michina kuna siku hata moja umefanikiwa kukutana na lenye hiyo huduma ya Wi-Fi?
Mie wakati huo yanatoka na ujinga wangu naenda kwetu nikajisemea ngoja nipande kitu luxury sikumbuki nilichokipata zaidi ya kuuwa battery yangu ya Nokia Lumia na system kuvurugika mpaka leo ipo kabatini.
Mchina siyo mtu mzuri!
Kaingia kwenye trucks Sasa, atahamia kwenye meli, Kisha ataanza urubaniKwan umeacha kazi yako ya bodaboda?
Professional.Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani...
Kilimanjaro hajawahi kuagiza gari mpyaMbona Kilimanjaro hazipiti pale? au Dar express (Tofauti na hizo Gemilang) kwann hizo model nyingine hazipiti pale?? reason?
na nikujuze tu sub scania Tanzania endapo kama ukitaka kuunda bus kwa hapa hapa hua wanaunda kutumia Dar Coach hawaendi Kenya, hayo ma Gemilang yanashuka hivyo hivyo