Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Kwan umeacha kazi yako ya bodaboda?
Huna unachokijua kuhusu mabasi wewe! Mwenzio kila siku hiyo kitonga napanda na kushuka nikiwa na basi sema leo nimeshinda ndo maana napata na muda wa kuona unavyopotosha watu kisa unapenda rangi za golden deer
 
Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani.

Mchina basi karibu zote anatumia technology ya euro 1, mechanical injector pump na nozzle , scania za f95 ni euro 5, common rail fuel injection , variable geometry turbocharger etc Ni very efficient, kiasi kwamba waliamua kupunguza cylinder moja , kwa option za mabasi,
F95 Ina uwezo wa kumaintain speed ya 85 kwa kipande kirefu, ndo maana sauli inakuwa ya kwanza kila siku

Sent
Ngoja wengine tujifunze.
 
Mkuu Climber mlimani inapanda kasi tofauti na watu wanavyoidharau.
Tofauti moja ambayo itakuwepo kati ya Benz/Scania na Cummins injini ni hao Scania/Benz watapanda kwa low RPM tofauti kidogo na Cummins.
Mambo ya HP, TORQUE, RPM umeanza kwenda napohitaji mkuu. Huku ndo ubishani unapofikia tamati.
 
Nimsaidie kuna ile Tavavil Dar-Songea ina Wi-fi na nimewahi kuitumia.
Hivi mkuu nikuulize,ktk kupanda kwako hii michina kuna siku hata moja umefanikiwa kukutana na lenye hiyo huduma ya Wi-Fi?

Mie wakati huo yanatoka na ujinga wangu naenda kwetu nikajisemea ngoja nipande kitu luxury sikumbuki nilichokipata zaidi ya kuuwa battery yangu ya Nokia Lumia na system kuvurugika mpaka leo ipo kabatini.

Mchina siyo mtu mzuri!
 
Nimeambatanisha na screen shot

Screenshot_20200624-131130.jpg
 
Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani...
Professional.
 
Mbona Kilimanjaro hazipiti pale? au Dar express (Tofauti na hizo Gemilang) kwann hizo model nyingine hazipiti pale?? reason?

na nikujuze tu sub scania Tanzania endapo kama ukitaka kuunda bus kwa hapa hapa hua wanaunda kutumia Dar Coach hawaendi Kenya, hayo ma Gemilang yanashuka hivyo hivyo
Kilimanjaro hajawahi kuagiza gari mpya
 
Back
Top Bottom