Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Ava wana assembly gemilang hawaundiGemilang wapo malaysia tu, bas linaundwa na kampun ya AVA kwa kuiga muundo wa GEMILANG.
Ni kama dar coach wanavyoiga basi za higer au yutong
Nimsaidie kuna ile Tavavil Dar-Songea ina Wi-fi na nimewahi kuitumia.
Tatizo lako mkuu wewe uongo mwingiPunguza shobo, uzi huu wa watu wenye akili. Pimbi kaa pembeni
🙄😲Tatizo lako mkuu wewe uongo mwingi
Tatizo lako mkuu wewe uongo mwingi
Ava wana assembly gemilang hawaundi
Gari namba AY ni ya 2010Anayedharau Scania namuangalia na kucheka kwa kicheko cha Magu (ihiiiiiii). Scania za Abood zipo tangu 2004, mpaka leo zinapiga trip ndefu za Dar Mwanza na Dar Tunduma, zina namba AYL ama AXF. Zhongotng yenye namba CDD ishajichokea kabisa
Naongea kitu live Kilimanjaro hajawahi tumia gari ya Scandinavia huo ni uongo totally scandnavia hajawahi kuwa na andare G6 zadi ya andare G5 na g6 ni viaggio nyingi zilikuwa kwa zuberi na sasa nyingi amemuuzia arusha express ni teriasTatizo lako una kiherehere sana, unabishana kwa story za kusimuliwa
Gari namba AY ni ya 2010
AYA ni gari za mwaka 2007
Acha uongo mimi nina uthibitisho
Marcopolo branch ipo south Africa na zinaungwa sauz zinakuja bongo zinatembea au kubebwa kama Kilimanjaro yeye chasis anafungia huku hukuAVA ni body builders,marcopolo huwa wanaassemble wapi? Zinakuja kama zilivyo kutoka majuu kwa nn gemilang isije ikiwa kamili?
Safi sanaNaongea kitu live Kilimanjaro hajawahi tumia gari ya Scandinavia huo ni uongo totally scandnavia hajawahi kuwa na andare G6 zadi ya andare G7 na g6 ni viaggio nyingi zilikuwa kwa zuberi na sasa nyingi amemuuzia arusha express ni terias
Makampuni yaliyotumia gari za scandnavia...
Fact!Marcopolo branch ipo south Africa na zinaungwa sauz zinakuja bongo zinatembea au kubebwa kama Kilimanjaro yeye chasis anafungia huku huku
+1usingekua unazikuta sub-scania, delivery yake ingekua moja kwa moja kwenye yard ya kampuni husika
Zikiwa mpya Mercedes ni cheap kuliko equivalent scania.Vipi kuhusu gari za mizigo? Nimeona CocaCola na Azam wao wanatumia Benz zaidi kuliko brand nyingine kama Scania.
Watu wanakariri kuhusu Benz, bahati mbaya Ni wengi , Mercedes haina maisha ya scania , never haitatokeaImetoka gereji baada ya kukaa huko karibu mwezinna imezimikia njiani Sauli BenziView attachment 1490326
Gemilang haijawahinkuuzwa Tanzania , sijui kwa nin watu hawapendi kujifunza ,AVA ni body builders,marcopolo huwa wanaassemble wapi? Zinakuja kama zilivyo kutoka majuu kwa nn gemilang isije ikiwa kamili?
Hapana 2010 tulikuwa namba B, namba A zilianza 2006 to 2007, Kama sikosei, pia elewa nyingi ya namba A zilikuwa transfered kutoka mamba za zamani hasa TZT na TZRGari namba AY ni ya 2010
Ina maana siku hizi New force kwisha habari yake?, Nimeimiss mbeya aiseeEither hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani.
Mchina basi karibu zote anatumia technology ya euro 1, mechanical injector pump na nozzle , scania za f95 ni euro 5, common rail fuel injection , variable geometry turbocharger etc Ni very efficient, kiasi kwamba waliamua kupunguza cylinder moja , kwa option za mabasi,
F95 Ina uwezo wa kumaintain speed ya 85 kwa kipande kirefu, ndo maana sauli inakuwa ya kwanza kila siku
Sent