Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Imetoka gereji baada ya kukaa huko karibu mwezi na imezimikia njiani Sauli Benzi.
IMG-20200627-WA0077.jpeg
 
Anayedharau Scania namuangalia na kucheka kwa kicheko cha Magu (ihiiiiiii). Scania za Abood zipo tangu 2004, mpaka leo zinapiga trip ndefu za Dar Mwanza na Dar Tunduma, zina namba AYL ama AXF. Zhongotng yenye namba CDD ishajichokea kabisa
Gari namba AY ni ya 2010
 
Tatizo lako una kiherehere sana, unabishana kwa story za kusimuliwa
Naongea kitu live Kilimanjaro hajawahi tumia gari ya Scandinavia huo ni uongo totally scandnavia hajawahi kuwa na andare G6 zadi ya andare G5 na g6 ni viaggio nyingi zilikuwa kwa zuberi na sasa nyingi amemuuzia arusha express ni terias

Makampuni yaliyotumia gari za scandnavia

1 Zuberi zile polo
2 Alsaedy polo
3 arusha express polo
4 Mghamba polo
5 MTL polo terias
6 champion polo zile
7 kuna kimotco ilipata ajali jana sekenke ile ilikuwa Scand kabla ya kuwa MTL

Na nengineyo
 
AVA ni body builders,marcopolo huwa wanaassemble wapi? Zinakuja kama zilivyo kutoka majuu kwa nn gemilang isije ikiwa kamili?
Marcopolo branch ipo south Africa na zinaungwa sauz zinakuja bongo zinatembea au kubebwa kama Kilimanjaro yeye chasis anafungia huku huku
 
Naongea kitu live Kilimanjaro hajawahi tumia gari ya Scandinavia huo ni uongo totally scandnavia hajawahi kuwa na andare G6 zadi ya andare G7 na g6 ni viaggio nyingi zilikuwa kwa zuberi na sasa nyingi amemuuzia arusha express ni terias

Makampuni yaliyotumia gari za scandnavia...
Safi sana
 
Vipi kuhusu gari za mizigo? Nimeona CocaCola na Azam wao wanatumia Benz zaidi kuliko brand nyingine kama Scania.
Zikiwa mpya Mercedes ni cheap kuliko equivalent scania.

Sent
 
AVA ni body builders,marcopolo huwa wanaassemble wapi? Zinakuja kama zilivyo kutoka majuu kwa nn gemilang isije ikiwa kamili?
Gemilang haijawahinkuuzwa Tanzania , sijui kwa nin watu hawapendi kujifunza ,


Sent
 
Gari namba AY ni ya 2010
Hapana 2010 tulikuwa namba B, namba A zilianza 2006 to 2007, Kama sikosei, pia elewa nyingi ya namba A zilikuwa transfered kutoka mamba za zamani hasa TZT na TZR

Sent
 
Either hujui au haupo makini, gari kukimbia ni kitu kimoja na gari kuhimili kukimbia ni kitu kingine kabisa , mabasi yana speed limit ya 85km/h, lakini wastani wa mwendo hutofautiana kadiri engine inavyokuwa dhaifu milimani.

Mchina basi karibu zote anatumia technology ya euro 1, mechanical injector pump na nozzle , scania za f95 ni euro 5, common rail fuel injection , variable geometry turbocharger etc Ni very efficient, kiasi kwamba waliamua kupunguza cylinder moja , kwa option za mabasi,
F95 Ina uwezo wa kumaintain speed ya 85 kwa kipande kirefu, ndo maana sauli inakuwa ya kwanza kila siku

Sent
Ina maana siku hizi New force kwisha habari yake?, Nimeimiss mbeya aisee
 
Back
Top Bottom