Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Zipo. KAchanganya marcopolo na Higer za mchina
Nyingi zimekufa kaka anauza mabody sasaivi amebaki na gari 7 tu barabarani marcopolo zilikuwa 7 ameuza 2 kwa zuberi na tatu kwa Kilimanjaro mbili zipo yard juu ya mawe barabarani amebakisha Higer 5 na yutong 2
 
Zile marcopolo dar lux zimemshinda sio scania zile zilikuwa ni Weichai na Kilimanjaro amenunua 3 DNQ mbili na DPK moja na ZUBERI amenunua DNU mbili, na Kilimanjaro soon zinatoka zikiwa na chasis ya scania.
 
True ruti ya arusha kaua nairobi kaua kahama na bukoba kaua now ni mwanza na mbeya tuu.
huyu mwamba namna alivyoyumba nilijikuta najiuliza hiyo pesa alipataje [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni management ndio inamuangusha jamaa gari ikigonga wanaipaki wanaanza ichomoa spea ihudumie gari nyingine ikiaribika pia hitilafu alagu matunzo ziro mwisho unakuta gari nyingi zimepaki zinaaribika ovyo njiani matuzo hamna kitu pale matokeo yake gari hazitamaniki anauza mabody
huyu mwamba namna alivyoyumba nilijikuta najiuliza hiyo pesa alipataje [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sema moja ya sababu! Mkuu scania weka mbali na mchina. Route za masafa marefu na zenye milima ndo utajua scania ni baba lao ukitaka muulize mchina why hana route ya mwanza mbeya
Walijaribu Arusha to Mbeya, Mwanza to Mbeya. Waliishia njiani
 
nadhan uzi unajieleza ,sio gari za mizigo ..tuna basi mchina vs msweden
Akili yako imekwambia hapo nimezungumzia lori? Nimekwambia bus zenye mashine hizo acha kukurupuka kama hujui! Mie sijawahi endesha lori so kila ninachojibu ni kuhusu bus... Au akili yako inakwambia lori lenye mzigo litatumia lita 280 kwa km 700??
 
Akili yako imekwambia hapo nimezungumzia lori? Nimekwambia bus zenye mashine hizo acha kukurupuka kama hujui! Mie sijawahi endesha lori so kila ninachojibu ni kuhusu bus... Au akili yako inakwambia lori lenye mzigo litatumia lita 280 kwa km 700??
Tena jibu langu linajieleza "nilikuwa natembea na bus" halafu unakuja umekurupuka tu ili uwahi kujibu!! Soma kwanza uelewe mdogo angu. Au ulikuwa unawahi darasani?
Stress za maisha zinakuua , pambana na hali yako
114 hiyo ni engine ya bus ?? hili ni bus limeundwa hapa hapa
Yani bus ilambe wese wastan wa 0.42 per KM?? iwe mchina iwe bennz iwe nani hazili huo wastani , huo ni wastan wa gari za mizigo ,ni o.23 hadi 0.26
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…