Irrizar sio body ya Spain , ni luxury body ya Brazil. katika Irrizar century class ambayo ndo hizo dar express , Ni f330 pekee ndio ilikuwa mlango Kati unalifahamu hilo? Nimepanda body hiyo ikiwa na chassis ya MAN Zimbabwe (chriss Vega) nimepanda pia volvo ikiwa katika body hiyo na zote zilikuwa na mlango wa abiria mbele kushoto . Sababu ya f330 kuwa na mlango Kati ni technical uliza guru yoyote wa scania ,
Kitaalamu pia gearbox ya range change haiko rasmi kwa ajili ya basi , Ni kwa ajili ya Lori, Ni complex na ghali pia ,F330 ilikuja na range change gearbox ya 8 speed, hujiulizi kwa nini? Mbona 95 inakuja na 6speed ?
Marcopolo sidhani Kama aliwahi kuwa na basi ya f330 , Ila nafahamu wakati irrizar inatoka na f330 marcopolo tayari alikuwa na k124 ,400, powerful kuliko hiyo f330, Kama utakumbuka CR. Zambia walikuwa nayo 8x2 miaka ya 2006. ilikuwa Ni double deck ile basi.
F330 ndio hiyo hiyo 114 340, mambo ya decimal points tu , engine Ni 10.6cc ndo hiyo 11cc @ 335 hp, ndo hiyo 340 unayoiona kwenye badge.
Sent