Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Nimekwambia itafute hiyo mashine kwenye picha hapo usome acha kubwabwaja wewe!! Acha kukariri mambo! Hiyo bus imetoka spain kama unavyoiona ikiwa kama ilivyo halafu wewe uje utoe kelele zako hapa ambazo hazina maana! Hata hiyo scania 95 haili mafuta kiwango ulichosema wewe! Labda nikuwekee ushahidi pia wa hiyo gari.

Sisi ndo tulioanza kuingiza bus zenye mashine hiyo 95 mwaka 2009 mwishoni zilikuja 3 tu pale SAAB SCANIA mbili tukawa nazo sisi ziliandikwa Fatima Lupelo Express tulikuwa tunatumia lita 260 kwa km 714.. We unaleta habari za kusimuliwa na wauza korosho
 
mkuu, jifunze ku present hoja yako bila povu , acha kua keyboard worrior , hoja inaeleweka bila povu , asubuhi asubuhi siku haijachanga uko hivi, je ikifika mchana?? ni dalili za nn hz [emoji23][emoji23][emoji23]
 
mkuu, jifunze ku present hoja yako bila povu , acha kua keyboard worrior , hoja inaeleweka bila povu , asubuhi asubuhi siku haijachanga uko hivi, je ikifika mchana?? ni dalili za nn hz [emoji23][emoji23][emoji23]
Umekuwa mgumu sana kuelewa tatizo! Unajua wanafunzi wakibongo bila fimbo hawaendi [emoji23][emoji23]
 
Hizi hapa ndo 95 hp 310 za kwanza kabisa kuingia nchini wengi waliziogopa kuwa zinatumia umeme zitasumbua sana.. Lakini hazikula mafuta kiwango ulichoandika
 
Kama ni engine mbele utakuwa unatudanganya mkuu mfano halisi wa 114-380 ni majinja anazo nyingi sana hata BUL ni 114 380 ila chasis zile na engine katoa kwenye malori
Itafute hiyo Mashine uikague ina injini gani na bodi hilo ni irizar toka Spain halafu linganisha na wachina wenu hao sijui Zhongtong, Yutong, Higer, Dragon mara sijui SunlongView attachment 1492968
Iyo lupelo ni CAIO kwa sasa ipo kwa NBS hadi leo inapiga kazi.
 
Gari ya mizigo ikila hivyo mafuta tupa! Labda 113 ndo zinakula hivyo..

Bus consumption yake lazima iwe juu!
Inafikia wakati rpm inasoma 1600 huko.

hakuna mlima hakuna tambarare ni mwendo wa mbio tu! Safari ya siku mbili hadi tatu kwa lori wao wanatumia siku moja tu.
 
Kwamba bus inakula wese kuliko lorry?
 
Kama ni engine mbele utakuwa unatudanganya mkuu mfano halisi wa 114-380 ni majinja anazo nyingi sana hata BUL ni 114 380 ila chasis zile na engine katoa kwenye malori
Duuhh hatari sana! Yaani umequote panapojieleza kabisa ni injini nyuma na pia kuna picha ya hiyo Hausung hapo inamaana haieleweki ni injini mbele au nyuma hiyo? [emoji23][emoji23][emoji23] nashangaa maelezo yanasema kama ni injini mbele nadanganya
 
Hayo majibu yalikuwa ya ile Hausung sio hiyo CAIO mkuu! Hiyo Lupelo nimeituma baadae sana tena hiyo body ni Brazil
Hausung zilitua used wakati zinakuja zilikuwa na jina la white star ni kampuni moja huko ulaya ila sio nchini spain, ni kweli ilitengenezwa spain ila halikuwa likitumika spain

pili sijui ilikuwa na mashine gani so siwezi kukubishia kama ni 114 basi itakuwa K114 hp haiwezi kuwa chini ya 380 uko sahihi.

Hausung zilikuja mbili alipiga dar njombe kisha akaongeza hadi madaba na kwa sasa nadhani zinabeba wanafunzi
 
Iyo lupelo ni CAIO kwa sasa ipo kwa NBS hadi leo inapiga kazi.
Haya naomba unisaidie ni bus gani la mchina lenye umri huo wa hiyo Lupelo ambalo hadi leo linapiga kazi! Watu tukiwaambia msweden atabaki kuwa juu wanapinga. Sisi tumeitembeza hiyo gari km 714 kila siku kwa mwaka na miezi 8 tena mwendo hasa.. Kipindi kile ukiwa speed ya kawaida ni 100 muda wote speed meter imelala na rpm inagonga 25
 
Uko sahihi ndo tulizipokea sisi zile zilitengenezwa spain ila hazikuwa zikifanya kazi kule, na mashine hadi sasa ni ileile 114 hp380 body ziko tofauti ila mashine zinalingana kila kitu
 
Kazipaki tu ila kuna muda akifunga shule ndo anasombea wanafunzi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…