Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Umeongea pumba nyingi, point ya 114 imekushinda. Freys ile ni R420 unaijua?

Story zenu za kina mama debora sizijui
 
Unajua maana ya REPLICA mkuu?

Hata hizo sauli na rungwe ni replica za kenyan fabricators
Sio gemilang ni body assembled Hapo LSHS kenya ni scania f310 na zilikuwa mbili zote amenunua modern
 
Siwez kukutajia kwa kuwa soko la gari za mchina liianza kukolea tukiwa kwny plate number za C mwishoni. Gari ya kichina ambayo ni kimeo ni Higer
Halafu nimesema nitafutie mchina yenye namba b kwasasa inayofanya kazi
 
Unajua maana ya REPLICA mkuu?

Hata hizo sauli na rungwe ni replica za kenyan fabricators
Unaambiwa assembly unadai replica kwani mi sijui replica?? Nimekuambia ni assembled in kenya ina maana gemilang na hizo ni za kuunga mm nazijua nje hadi ndani 80% vitu vimetoka nje ya kenya gemilang ni malaysia nq iyo LSHS ni china LSHS ana asembly pia golden dragon engine kumtako
 
Siwez kukutajia kwa kuwa soko la gari za mchina liianza kukolea tukiwa kwny plate number za C mwishoni. Gari ya kichina ambayo ni kimeo ni Higer
Acha uongo bhana unakumbuka newforce alikuwa na yutong injini nyuma? Na kuna kampuni iliitwa Tonda unaifahamu?? Zote zilikuwa Yutong hebu niambie zile gari zipo wapi kwasasa japo mabaki tu
 
Sasa mkuu nitumie gari 4 kujibu general research kama hiyo? Scania ngapi zilizokuwepo enzi za tonda sa hv I skrepa?
Acha uongo bhana unakumbuka newforce alikuwa na yutong injini nyuma? Na kuna kampuni iliitwa Tonda unaifahamu?? Zote zilikuwa Yutong hebu niambie zile gari zipo wapi kwasasa japo mabaki tu
 
Hakuna gemilang original bongo, zote ni copy tu

Au hujawah kupanda ndani uone mabati yalivyojazana
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] heshima yako mkuu
 
Uko sahihi
 
Sasa mkuu nitumie gari 4 kujibu general research kama hiyo? Scania ngapi zilizokuwepo enzi za tonda sa hv I skrepa?
Kuna bus ngapi za Scandinavia ambazo hadi leo zipo na zilishakuwepo tangu 2007? Abood za tangu 2008 zipo tena zinapiga rout ndefu.. Iliyokuwa Lupelo zipo na NBS bado zinafanya kazi.. Wewe nitajie mchina moja tu ya 2010 au 2012 iliyo hai hadi leo
 
Hakuna gemilang original bongo, zote ni copy tu

Au hujawah kupanda ndani uone mabati yalivyojazana
Unapewa kitu kulingana na thamani ya pesa yako sasa kama kopi iwe kopo sisi ndio tunajua ni gamilang
 
Swali hili nilishakujibu lakin.
Kuna bus ngapi za Scandinavia ambazo hadi leo zipo na zilishakuwepo tangu 2007? Abood za tangu 2008 zipo tena zinapiga rout ndefu.. Iliyokuwa Lupelo zipo na NBS bado zinafanya kazi.. Wewe nitajie mchina moja tu ya 2010 au 2012 iliyo hai hadi leo
 
Replica inafanyika mkuu zipo replica mpaka za gemilang kwa modern ila gemilang kama gemilang wana asembly na inafanywa na AVA mombasa hao jamaa hawajihusishi na aina nyingine yoyote ya body ni gemilang tuu elewa nachokuambia futa unachokiamini ni cha uongo, gemilang ile face hata huko kenya gari ikigonga hawawezi irudishia ile sura ni gharama sana hapa bongo naona ndio kuna mafundi watundu ile rungwe waliirudishia ila angalia tashriff na burdan wameshindwa zirudishia sura halisi
Unajua maana ya REPLICA mkuu?

Hata hizo sauli na rungwe ni replica za kenyan fabricators
 
Volvo B7 zilikuwa hp 290 tuu zilisumbua sana zile chuma hody ya ki botswana ile AVM
 
Gari za zamani zilikuwa na hp ndogo gear 5 ila moto wake ni adabu enzi zile gari vent kama imechanwa na wembe na bado gari haichemshi mwanzo mwisho enzi zile kulikuwa na chuma engine nyuma kina kiswele air msae fresh ya shamba ni adabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…