Bani Israel
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,775
- 3,593
Hizi zote ni scania ila body yutong
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari ni utunzaji wa tajiri mwenyewe tuu body za kichina ziko vizuri tatizo ni huko chini ndio hakufai
Hizi zote ni scania ila body yutong View attachment 1494159View attachment 1494160View attachment 1494161View attachment 1494162View attachment 1494163
Marcopolo wataalam wa body za mabasUnajua kwamba scania wao hawatengenezi body
Gari ya kichina Ni gari ya mapito Sana kwa watu wenye quick cash, kwa watu wenye kuijua hii biashara hawezi kuhangaika na gari ya kichina kwa sababu service life zake no kidogo sana, na mind you gari za kichina sio rahisi kivile .
Kwenye industry ya transportation chombo kuhudumu kwa muda mrefu Ni moja ya faida, majinja hajanunua basi mpya lakini anakwrnda Mbeya kiuhakika zaidi na kwa miaka mingi zaidi, kwa kutumia mtaji kidogo na inawezekana akawa na base kubwa ya wateja , kuliko basi nyingi za kichina kwa huko mbeya na sumbawanga,
Kukipambazuka watu watajua ni kiasi gani cha pesa na muda walipoteza kumiliki magari ya kichina
Sent
Hapo kwenye chasis hapo, unajuaje mkuu [emoji3][emoji3]Body volvo ila chasis ni scania 114 380
wanazirufasha au ??Kilimanjaro amenunua body za dar lux marcopolo g7 asia star weichai katoa chasis za asiastar weichai katoa ameweka chasis ya scania p310
Hivi haku ka tank nyuma huko hua kana nini? niliona tool power nae anazoHizi zote ni scania ila body yutong View attachment 1494159View attachment 1494160View attachment 1494161View attachment 1494162View attachment 1494163
inabeba mizigo ni tela iyo.Hivi haku ka tank nyuma huko hua kana nini? niliona tool power nae anazo
ila Zambia buses zinapepea sii kidogo [emoji23][emoji23] , ukiiona inakuja kama uko na baiskel yako unasogea pemben ipite kwanza
Sijakuelewawanazirufasha au ??
Hapo kwenye chasis hapo, unajuaje mkuu [emoji3][emoji3]
Sawaya hakusoma lakini ni mgunduzi sana yeye ndiye aliyeanzisha chasis za malori kuwa bus akanzisha kuweka tandamu fuso akaanzisha semi trailer kuwa tipper na siku hizi anachukua plate no ya zamani ananunua chassia ya scania mtumba ana visha body mpya ya SA.Izo body hapo zilikuwa dar lux marcopolo zile zile na hapo unaona Kilimanjaro anafanya manuva kuvisha chasis ya scania baada kitoa takataka za kichina View attachment 1492715
Dar lUx kahamia kwenye tipper.Anazo za kufa mtu HOWO.True ruti ya arusha kaua nairobi kaua kahama na bukoba kaua now ni mwanza na mbeya tuu.
Mkuu kuna basi Mitsubishi Fuso ilikuwa inapiga Mbeya-Tunduma iliandikwa hii jina Id yako ya Kiduku Mpapaso.Ndio kazi zetu mkuu tumeanzia kwenye ufundi tumekua makondakta mpaka sasa tunayasuku hayo mavyuma
Hizi basi sikuizi sizioni barabarani, nini tatizo mkuu?Itafute hiyo Mashine uikague ina injini gani na bodi hilo ni irizar toka Spain halafu linganisha na wachina wenu hao sijui Zhongtong, Yutong, Higer, Dragon mara sijui SunlongView attachment 1492968
i mean hizo chasis za p310Sijakuelewa