Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mchana haepukiki ndugu. Unaweza kujikuta umevaa Mchina toka soksi mpaka kapelo. Kuangalia exports za China kwenda US za kuanzia computer hadi vifaa vya ujenzi utachoka.
 
Shida ni viwango,kanunue tshirt ya guchi ya kichina ya 20 elfu,mwingine anunua guchi daraja 3 kwa 70 elfu,kisha wote anzeni kuzivaa,miezi 3 wewe yako haitamaniki,kama ilikuwa nyeusi itakuwa imekuwa ya ugoro nk.

Tunawashukuru kwa kutufanya tung'ae na kugusa vitu vya ndoto zetu,lakini visivyo imara.
 
Mkuu samahani unaizungumzia ile Rungwe DNN iliyokula mzinga pale Iyovi?

Kama ndio yenyewe basi hao jamaa ni nyoko maana kila ukiicheki hujui kama ilikula mzinga tena uso kwa uso.
 
Ndio ilikulana na fuso bus kama sikosei
 
Mchana haepukiki ndugu. Unaweza kujikuta umevaa Mchina toka soksi mpaka kapelo. Kuangalia exports za China kwenda US za kuanzia computer hadi vifaa vya ujenzi utachoka.
Ukupiga hesabu vizuri hutaona faida ya mchina ana gati modern sawa Ila hazidumu

Sent
 
Je naweza kununa howo au Sinotruck halafu nikavisha body ya bus?
Je ntakuwa nimepunguza gharama ukilingaisha na kununua YUTONG?
 
Kilimanjaro amenunua body za dar lux marcopolo g7 asia star weichai katoa chasis za asiastar weichai katoa ameweka chasis ya scania p310
 
Bivi mkuuu kinachofanya gari body iwe mkataba muda wote ni chasis au nini maana kama bidy atatumia za mchina inakuaje?

Howo inatumia cummis ni yale yale [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Bivi mkuuu kinachofanya gari body iwe mkataba muda wote ni chasis au nini maana kama bidy atatumia za mchina inakuaje?
Gari ni utunzaji wa tajiri mwenyewe tuu body za kichina ziko vizuri tatizo ni huko chini ndio hakufai
 
Juldan motors zambia, pioneer Zimbabwe na wengie wanazo yutong zenye chasis za scania f310HB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…