Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Anhaa kumbe mzee tunavyosema mchina ana body nyanya tunakosea,,,kinachomponza ni chasis nimeelewa boss hapo nadhani ukiweka chasis ya msweden halafu body ya kichina chuma inakua kinanda maana mchina kwenye body kajitahidi kuhusu muonekano.
Gari ni utunzaji wa tajiri mwenyewe tuu body za kichina ziko vizuri tatizo ni huko chini ndio hakufai
 
 
Izo body hapo zilikuwa dar lux marcopolo zile zile na hapo unaona Kilimanjaro anafanya manuva kuvisha chasis ya scania baada kitoa takataka za kichina View attachment 1492715
Sawaya hakusoma lakini ni mgunduzi sana yeye ndiye aliyeanzisha chasis za malori kuwa bus akanzisha kuweka tandamu fuso akaanzisha semi trailer kuwa tipper na siku hizi anachukua plate no ya zamani ananunua chassia ya scania mtumba ana visha body mpya ya SA.
Jamaa kichwa sana basi tuu nchi yetu haithamini vipaji
 
True ruti ya arusha kaua nairobi kaua kahama na bukoba kaua now ni mwanza na mbeya tuu.
Dar lUx kahamia kwenye tipper.Anazo za kufa mtu HOWO.
Princess Muro nae karudi kwenye malori.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…