Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Mzee baba, hapo umesema uongo, costs za kuendesha hizo gari ni sawa, Utofaut wa gharama upo kwenye manunuzi , na hiyo trip uliyosema Majinja ataingiza pesa zaidi manake anakula mzigo haswa, michina haipaki mizigo...
Majinjah Dar swanga anapakia mzigo hadi wa mil 3 chuma ikishusha ukapakia kwenye canter haiondoki.
 
Soko la sasa ni la ushindani unatakiwa kwenda nalo kwa wakati huwezi tumia bus miaka 10 wenzio wanabadili we una lile lile abiria wa bongo wanakukimbia kawaida abiroa hawajui hilo la kusema hii ni yuyong hii ni scania never
 
Kuna watu wanafhani biashara ya gari ni calculator tu.

Hiyo frester Dpp ilimilikiwa na New force ikiwa mpya , then akaiuza kwa huyo frester , infact frester amenunua zaidi ya gari 10 kutoka New force , basi mpya kwake ni chache sana.
DPP zilikuja zikiwa kama frester zikiwa mpyaa hazijawahi kuwa new force
 
✌️✌️✌️🙏
 
Kweli kabisa , Cha ajabu gari ya kichina huwa haimaintain fuel economy kadiri inavyozeeka , katika machweo yake gari ya kichina huwa very heavy kwenye mafuta, niliona faw moja iliyozeeka ulaji wake wa mafuta ulikuwa majanga
Sio malory hata mabasi likiwa jipya utalipenda ila likishaanza mambo yake hata scania haziingii ndani miezi kadhaa New force alipiga marufuku madereva wake kama watatumia lita zaidi ya 700 kwenda tunduma na kurudi basi watakatwa posho nikashangaa sana zhongtong ile zaidi ya 700??

Nikamtafuta dere mmoja alikuaa anaendesha nyagawa dar njombe nikamuuliza kuhusu swala la mafuta akaniambia michina inakula mafuta vizuri tuu hizi tunazoziona huku mtaani ni propaganda tuu yeye dar njombe iende irudi zhongtong climber L360 20 Alikuwa anawekewa lita 530 sa kwann dar tunduma wasilw zaidi??

Nikataka ku compare nikamtafuta dereva wa Kilimanjaro Moja ambayo ni p310 opticruise nikamuhoji akasena kwa gari yake hata 600lt inaweza isifikishe kama hana ligi na mtu.

Nikamtafuta mwingine wa klm 94D 310 akanieleza hivyo hivyo yeye gari yake inatumia kwenye 600 hiviii iede irudi kama atakuwa masaa hapo nika realize kwamba michina inakula wese vizuri tuu...
 
Majinja ni scanja Mbona anatepeta kwa newfoc ambao ni mchina kwa root za dar swax ?
 
Kweli upo vizuri mkuu. Akibisha na abishe tu

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Soko la sasa ni la ushindani unatakiwa kwenda nalo kwa wakati huwezi tumia bus miaka 10 wenzio wanabadili we una lile lile abiria wa bongo wanakukimbia kawaida abiroa hawajui hilo la kusema hii ni yuyong hii ni scania never
Unafanya interior design fresh tu, linaenda na wakati
 
Ishu ni kwenye makato DPP haijarudisha hela ilihali BTY haidaiwi majinja ndio anapiga faidia sababu hana rejesho benk kama DPP ambayo bado haijarudisha faida

Kuna kitu kimekua common na wengi wanadhani kila anayenunua bus mpya ya kichina amekopa.....
 
mchini yuko vizuri coz yuko kibiashara Zaidi ana angalia na uitaji wa soko pamoja na pesa pia
 
Wakuu hivi
Kwenye gar mkisema stability, comfortable mnamaana gani
Stability ni hali ambayo unakuwa speed na huoni gari kuyumba. Mfano ukiendesha Benzi GLE/GLS ukiwa hata 180kph unaona kitu kimenata barabarani hakiyumbi. Ila ukiwa kwenye Harrier ikiwa 140kph unaona kitu kinayumba na kimekuwa chepesi hatari.

Comfortable ni ile hali ukiwa kwenye gari hata ikiwa inapita kwenye makorogesheni wewe wa ndani huyasikii. Unaona upo tambarare.
 
Oho nashukuru mkuu
 
Njoo unywe soda mkuu
 
Sauli mwanaume wa Ubungo kumiliki Benz pekee yake 800 mill sio utani
 
Inapakia idadi ya abiria ile ile kwa nauli ile ile mbaya zaidi ishafunguliwa engine zaidi ya mara 3 sometimes biashara ni akili ili upate faida
Scania za sauli ziko road mwaka wa 3 sasa, ukiziona,ukipanda bado kama mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…