Mabasi aina ya Scania na Mercedes Benz vs Yutong na Zongtong: Mchina ameuza ramani ya vita kwa adui

Ivi unajua basi la kichina likiwa jipya

Linatembea 1litre kwa 5 KMS??

Nilitee Scania yeny utumiaji huo wa mafuta??
Mzee baba, hapo umesema uongo, costs za kuendesha hizo gari ni sawa, Utofaut wa gharama upo kwenye manunuzi , na hiyo trip uliyosema Majinja ataingiza pesa zaidi manake anakula mzigo haswa, michina haipaki mizigo

Scania atanunua bei juu, ila hiyo bus hata miaka 20 ataitumia na zaidi

mchina bei ndogo ila miaka 3 bus haifai, atambidi anunue nyingine, nani anafaidi hapo?
 
Hapa umeongea ukweli!
Torque ndio Kila kitu kwenye haulage industry, their more you have on wheels the top on the road you become, power ni mbwembwe tu , hutumii 750hp kubeba tani 30 unless uwe unataka kuwakoga watu tu, 3550Nm ya Volvo inapatikana katika 1100rpm , swedish low rev philosophy at its best.
 
[emoji38][emoji38][emoji38] Mwalimu alisema binadamu wote ni sawa ila si sawasawa?

Unajua alimaanisha nin?

Ivi hujiulizi VTS speed limit ni 85
Lakini juzi Muslim amemkamata dereva wa kimbinyiko Kweny koza za mlima nyangoro na speed ya 95?
Kama umegundua, hizi speed limit huwa zinasoma tofauti kulingana na aina ya mabasi, sijui chanzo ni nini ila scania kupiga alarm unakuta ipo 86 kph au mengine hadi 89 ndo yanapiga alarm
 
Hii ni point umeongea ambao watu wengi hawaijua

Ivi watu hawajiulizi DNX 346 (f12) Tong ya Dar lux ( kibasi cha kanda zote)

Kimewaburuza njia zote chenyewe cha kwanza unajua nin?

Kilikuja mbeya Sauli akakaa vizuri tu.

Kilienda mwanza akina DQZ 665 yake Machage (nadhani kuna baadhi ya watu wanajua moto wa huyu davo) Ally's star alika vizuri tu

Akina AGG na 124 380 HP alika kaa kwa DNX.

Kikaenda Bukoba Frester roadways tour (DPP) yake Makaranga na shida walikarishwa na DNX yke Chris

Kikaenda Nairobi akuna cha tahamedi wala Nan alie kaa mbele yke

Akaenda Arusha akuna cha BM wala mpuuzi yeyote ali kaa mbele

Inshort dereve anajua ana ipush gari to the Maximum lakini Chuma inakua na maelekezo full stop!

Nikusaidie pia apart from technical issue kwasasa bus kukaa mbele ni ela yko tu Sauli kila dereva anapewa laki ya njian tofauti na posho maana yke nini ndo iyo inamfanya anakua wa kwanza daily na sio kweli kwamba ni performance ya engine pekee
 
Ni kweli mara ya kwanza si ilikua lori ?

Ni kama BUL utawadanganya watu lina miaka 10

Wakati limefyatuliwa alina hata miaka 3

Wamenunua plate number na kuvisha bodi.
Hata Kama ilifyatuliwa juzi juzi , lakini Kama likikuwa Lori kabla maana yake likikuwa far stressed kuliko basi.

Engine ya howo au faw ikishahudumu kwenye Lori hata mwaka tu huwezi ukaifanya basi. FYI hizo majinja Bul na Bty ni scania 113 Kama sikosei, the last time 113 ili roll out of factory ilikuwa ni 1996, na hii jinkwa Ile lastest euro 1 , 113 400hp ambayo ilikuwa ni EDC. ,Hizo 113 320 na 360 ziliacha kutengenezwa toka 1995

Bul na Bty zinaweza zikawa ni scania zilizohudumu karibu Miaka 30 barabarani
 
Hata Kama ilifyatuliwa juzi juzi , lakini Kama likikuwa Lori kabla maana yake likikuwa far stressed kuliko basi ,
Engine ya howo au faw ikishahudumu kwenye Lori hata mwaka tu huwezi ukaifanya basi
FYI hizo majinja Bul na Bty ni scania 113 Kama sikosei, the last time 113 ili roll out of factory ilikuwa ni 1996, na hii jinkwa Ile lastest euro 1 , 113 400hp ambayo ilikuwa ni EDC. ,Hizo 113 320 na 360 ziliacha kutengenezwa toka 1995

Bul na Bty zinaweza zikawa ni scania zilizohudumu karibu Miaka 30 barabarani

What I can say Scania ni gari inayokubali mikono ndo mana zinatufaa sana sisi kwa hali zetu kifupi zinatengenezeka baadhi ya brand hazitaki janja janja lkn ni imara sana km Benz na Volvo lkn hizi kwa hali zetu hazitufai kifaa kikiharibika una replace full stop hakuna ujanja km utaokafnya kwenye 113 360hp
 
Ivi unajua basi la kichina likiwa jipya

Linatembea 1litre kwa 5 KMS??

Nilitee Scania yeny utumiaji huo wa mafuta??
Euro 5 common rail fuel injection ikiwa na variable geometry turbocharger ipo far more efficient na economy kuliko hizo figures zako za basi la kichina .

R 450 ikiwa loaded @44000 Gvm Ina average 10.2 mpg, hii ni sawa na karibu Lita moja Kila km 4.7, hii tunaongelea Lori la mzigo likuwa na tani 30, scania 95 inatumia tech hiyo hiyo , Bahati mbaya wengi walioagiza hizo basi wame specify manual six I nawezekana wakaexperience heavy fuel consumption,
 
Hata bus lipo homo humo, kuna sehem nilisoma kwa Km 100 ni lita 24/26 .. ukija angalia wastani n humo humo , ukigawanya unapata figure zinazo karibiana na ulicho andika hapo.

Yutong ni lita 25 kwa KM 100.. hii niliona kwenye manual book yao

kampuni zinajitahidi sana kuja na technology mpya ya kupunguza gharama za uendeshaj hasa fuel consumption
 
Kweli kabisa , Cha ajabu gari ya kichina huwa haimaintain fuel economy kadiri inavyozeeka , katika machweo yake gari ya kichina huwa very heavy kwenye mafuta, niliona faw moja iliyozeeka ulaji wake wa mafuta ulikuwa majanga
 
Soma trucknet forums , uone Benz inavyolalamikiwa , Cha kwanza kabisa ni powerless , sio comfortable ,
Kitu pekee inachoaifiwa ni fuel figures ipo vizuri sana kwenye Hilo , japo wenzetu huko ulaya hawaangalii factor moja tu
Life span ya benz haifikii scania hata kidogo.
Nimepitia baadhi ya malalamiko huko trucknet, nimegundua hawako serious!
Wanarusha maneno ili Benz ionekane haifai.

Imagine watu wanalalamika eti "driver's seat is too high", wakati makers wote wanapigania seats & cabin in general ziwe high kuongeza comfortability.

Mwingine aliyenishangaza eti anadai Benz is less powerful than his previous XF, really? hapo ndiyo nikaamua kuachana nao!
Screenshot_2020-09-11-19-37-39-1.jpg
 
Soma trucknet forums , uone Benz inavyolalamikiwa , Cha kwanza kabisa ni powerless , sio comfortable ,
Kitu pekee inachoaifiwa ni fuel figures ipo vizuri sana kwenye Hilo , japo wenzetu huko ulaya hawaangalii factor moja tu
Life span ya benz haifikii scania hata kidogo.
Nikirudi upande wako, ukisema Benz ni powerless unailinganisha na ipi? Ile FH 16 750hp au ile S730?

Mfano mzuri ni hapo hapo tz! Raphael logistic & main line vitu vizito wanavuta na Actros, au unaposema powerless unamaanisha nini?

'[Sio comfortable]'sijui hapo ulikuwa una compare model ipi, maana hata hizo scania kuna model ni less comfortable kabisa.

Kama zilivyo gari zingine, Benz pia waliainisha cabin kulingana na shughuli husika. Kuna S-cab, M-cab, L-cab na LH.

S&M, hizi ni kwa ajili ya daily operations, construction and distribution na kiukweli sio comfortable same as scania P series, C, D and E but L & LH hizi ndiyo za safari ndefu. Especially hii LH (mega space). Sasa sijui scania R ina nini cha ajabu cha kuifanya Actros mega space isiwe comfortable

To conclude, karibia gari zote siku hizi zinakaribiana/kuendana kwa kila kitu kuanzia stability, comfortability, etc..
Hata cab design ukiiangalia scania S, inafanana kabisa na iveco S-way na the new FAW.
 
Nimepitia baadhi ya malalamiko huko trucknet, nimegundua hawako serious!
Wanarusha maneno ili Benz ionekane haifai.

Imagine watu wanalalamika eti "driver's seat is too high", wakati makers wote wanapigania seats & cabin in general ziwe high kuongeza comfortability.

Mwingine aliyenishangaza eti anadai Benz is less powerful than his previous XF, really? hapo ndiyo nikaamua kuachana nao!
View attachment 1566970
Asante mkuu kwa hayo machache...
 
Nimepitia baadhi ya malalamiko huko trucknet, nimegundua hawako serious!
Wanarusha maneno ili Benz ionekane haifai...

Trucknet Ina segments nyingi , Kama If tu , Kama ulikuwa unasoma drivers seat is too high basi ulikuwa unasoma drivers forums , nakushauri soma owners and operators forum uone waliotia pesa zao kwenye Benz wanavyo Zi rate.

Chap aliyesema Benz is less powerful than his previous Xf , yupo sahihi kabisa , mkuu inaonekana wewe. Haupo field , habari ya daf Xf ni nzito , zinakimbia na zina nguvu , reputation yao iliyumba tu baada ya kutoa Daf euro 5 , ikiwa na faulty turbocharger.
 
Nikirudi upande wako, ukisema Benz ni powerless unailinganisha na ipi? Ile FH 16 750hp au ile S730?

Mfano mzuri ni hapo hapo tz! Raphael logistic & main line vitu vizito wanavuta na Actros, au unaposema powerless unamaanisha nini?

'[Sio comfortable]'sijui hapo ulikuwa una compare model ipi, maana hata hizo scania kuna model ni less comfortable kabisa.

Kama zilivyo gari zingine, Benz pia waliainisha cabin kulingana na shughuli husika. Kuna S-cab, M-cab, L-cab na LH.

S&M, hizi ni kwa ajili ya daily operations, construction and distribution na kiukweli sio comfortable same as scania P series, C, D and E but L & LH hizi ndiyo za safari ndefu. Especially hii LH (mega space). Sasa sijui scania R ina nini cha ajabu cha kuifanya Actros mega space isiwe comfortable

To conclude, karibia gari zote siku hizi zinakaribiana/kuendana kwa kila kitu kuanzia stability, comfortability, etc..
Hata cab design ukiiangalia scania S, inafanana kabisa na iveco S-way na the new FAW.

Nikirudi upande wako, ukisema Benz ni powerless unailinganisha na ipi? Ile FH 16 750hp au ile S730?

Mfano mzuri ni hapo hapo tz! Raphael logistic & main line vitu vizito wanavuta na Actros, au unaposema powerless unamaanisha nini?

'[Sio comfortable]'sijui hapo ulikuwa una compare model ipi, maana hata hizo scania kuna model ni less comfortable kabisa.

Kama zilivyo gari zingine, Benz pia waliainisha cabin kulingana na shughuli husika. Kuna S-cab, M-cab, L-cab na LH.

S&M, hizi ni kwa ajili ya daily operations, construction and distribution na kiukweli sio comfortable same as scania P series, C, D and E but L & LH hizi ndiyo za safari ndefu. Especially hii LH (mega space). Sasa sijui scania R ina nini cha ajabu cha kuifanya Actros mega space isiwe comfortable

To conclude, karibia gari zote siku hizi zinakaribiana/kuendana kwa kila kitu kuanzia stability, comfortability, etc..
Hata cab design ukiiangalia scania S, inafanana kabisa na iveco S-way na the new FAW.

Nilnaposema Benz ni powerless kuliko fh 750 au scania 730 ninazungumzia top of the range Mercedes ambayo ni 1863 hii ni model ya 2020 Ila ilianzia 2019

Habari za trucks zinapimwa kutokana na specification claimed , na sio hearsay, kipimo Cha ngunu ni horse power na torque ni uwezo wa angular force , Mercedes mpya Ina figures ambazo scania na vovlo wanazo karibu Miaka 10 iliyopita

Hebu nitajie power figures za Benz yoyote latest unayoijua Nami nitakutajia equivalent scania au Volvo ya Miaka kumi iliyopita ikiwa na power ratings hizo hizo
 
Trucknet Ina segments nyingi , Kama If tu , Kama ulikuwa unasoma drivers seat is too high basi ulikuwa unasoma drivers forums , nakushauri soma owners and operators forum uone waliotia pesa zao kwenye Benz wanavyo Zi rate.
Chap aliyesema Benz is less powerful than his previous Xf , yupo sahihi kabisa , mkuu inaonekana wewe. Haupo field , habari ya daf Xf ni nzito , zinakimbia na zina nguvu , reputation yao iliyumba tu baada ya kutoa Daf euro 5 , ikiwa na faulty turbocharger.
Siwezi kuangalia owners nikaacha kuwasikiliza drivers!
drivers wapo na gari mda mwingi kuliko owners hivyo wao ndiyo wanaweza kuzungumZia performance ya gari katika uhalisia na siyo makaratasi!
 
Nilnaposema Benz ni powerless kuliko fh 750 au scania 730 ninazungumzia top of the range Mercedes ambayo ni 1863 hii ni model ya 2020 Ila ilianzia 2019

Habari za trucks zinapimwa kutokana na specification claimed , na sio hearsay, kipimo Cha ngunu ni horse power na torque ni uwezo wa angular force , Mercedes mpya Ina figures ambazo scania na vovlo wanazo karibu Miaka 10 iliyopita

Hebu nitajie power figures za Benz yoyote latest unayoijua Nami nitakutajia equivalent scania au Volvo ya Miaka kumi iliyopita ikiwa na power ratings hizo hizo
Sasa Benz kuwa na power figures ambazo scania wanazo miaka 10 nyuma ndo inafanya Benz kuwa powerless?

Usilinganishe FH 16 750hp na Actros yenye 630hp, hiyo siyo fair comparison na haifanyi Benz kuwa powerless.

linganisha XF, FH, R, Actros na nyinginezo zenye same specifications &same year. Zifanye same task then itakayo perform poorly ndiyo iwe powerless.

Labda nikuulize! kuna task yoyote scania na volvo ziliwahifanya Benz ikafanya chini ya kiwango?
 
Back
Top Bottom