KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,115
- 1,807
Ivi unajua basi la kichina likiwa jipya
Linatembea 1litre kwa 5 KMS??
Nilitee Scania yeny utumiaji huo wa mafuta??
Linatembea 1litre kwa 5 KMS??
Nilitee Scania yeny utumiaji huo wa mafuta??
Mzee baba, hapo umesema uongo, costs za kuendesha hizo gari ni sawa, Utofaut wa gharama upo kwenye manunuzi , na hiyo trip uliyosema Majinja ataingiza pesa zaidi manake anakula mzigo haswa, michina haipaki mizigo
Scania atanunua bei juu, ila hiyo bus hata miaka 20 ataitumia na zaidi
mchina bei ndogo ila miaka 3 bus haifai, atambidi anunue nyingine, nani anafaidi hapo?